Recent content by aqeelah

  1. aqeelah

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NoReNoE
  2. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Nauza Samaki aina ya Jodari

    Sewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewa
  3. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Nauza freezer lita 300

    Hapana
  4. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Nauza freezer lita 300

    0756 620253 nicheki basi tuongee
  5. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Nauza freezer lita 300

    Nauza hii freezer ya West Point inagandisha barafu na umeme ukikata inaweza Kaa masaa 12, haina shida yoyote, inapatikana kijitonyama dar es salaam. Bei ni 300,000. Oven 80,000 Deep fryer 100,000
  6. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Mkuu unaweza nisaidia contact za huyu jamaa, naona hawa wadudu wameshavamia darı niwawahi mapema kabla hawajaniachia msiba
  7. aqeelah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Hicho nacho ni kifungo mkuu huwezi jifungua mwenye, nenda ukafunguliwe
  8. aqeelah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Mkuu usikose hilo kongamano ili ufunguliwe hiyo roho ya uzinzi otherwise huchomoki huko
  9. aqeelah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri nifanyeje juu ya hili?

    Njoo nikupangie mlo wa wiki nzima, ndani ya miezi mitatu utapungua kwa kiasi kikubwa sana.. hakikisha unafuata ratiba bila cheating
  10. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Milango ya mafanikio

    [emoji122][emoji122]
  11. aqeelah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Mbona umepaniki sana mkuu, shida nini?
  12. aqeelah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

    Yesuuuuuuu!
  13. aqeelah

    JamiiForums Tanzania FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    Imekuaje mayele hajatema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. aqeelah

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Ka story ka ajabu ila katamu kama mwise![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom