Habari wandugu.
Mimi ni muuguzi katika wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani. Natafuta muuguzi kutoka wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe wa kubadilishana nae vituo vya kazi, yeye aje Kisarawe, na mimi niende wilaya ya Mbozi.
Naomba msaada wenu wa kuusambaza ujumbe huu, natanguliza shukrani kwenu.
Kwa...
Kwanza, hongera kwa kampeni zako ambazo kweli zinamwitikio mkubwa kuliko mgombea yeyote.
Pili, pole ni mbinu chafu zinazofanywa na dola kukukwamisha katika kampeni zako, lakini hata hivyo naamini ukisimama kupiga kampeni leo, bado utapata kura za tufani kwa kuwa watanzania wameikataa CCM kwa...
Nimefuatilia huyu msemaji wa serikali, Dr Abbasi tangu ateuliwe, ni mtu asiyejiamini kabisa. Mwanzo alikuwa anasweat kweli kama anaongea na vyombo vya habari. Naona saizi amepata kaujasiri [emoji16]. Yaani nilikuwa namuonea huruma sana.
Masiya ndio kitu gani hicho wewe? Asiyekufahamu wewe kuwa upo under cover- yaani mnoko, ndiye atapata shida. Tunao kufahamu hatupati shida. Wewe ni kalai tu kama Katambi
Habari wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua ni gari ipi nzuri kwa road trip na hata uimara kati ya hizi: Toyoya IST, Vitz na Belta.
Ushauri nitakaoupata hapa ni kwa niaba ya rafiki yangu ambaye ananuia kununua gari kati ya mojawapo.
Ametazama utumiaji wa mafuta, hautofautiani sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.