Kubadilishana vituo vya kazi(afya/muuguzi)

Aputwike

Senior Member
Aug 9, 2016
172
189
Habari wandugu.

Mimi ni muuguzi katika wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani. Natafuta muuguzi kutoka wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe wa kubadilishana nae vituo vya kazi, yeye aje Kisarawe, na mimi niende wilaya ya Mbozi.

Naomba msaada wenu wa kuusambaza ujumbe huu, natanguliza shukrani kwenu.

Kwa mawasiliano DM yangu ipo wazi.
 
Habari ndg zangu Kuna mtu NURSING OFFISER II yupo singida anataka kurudi Kwao DSM WILAYA yoyote. Mwenye connection ya yyte anaetaka kwenda Singida RRH tafadhali. Tuwasiliane 0783973428
 
Habari ndg zangu bado dadaetu hajapata wa kubadilishana nae ni NURSING OFFISER II yupo singida anataka kurudi Kwao DSM WILAYA au wilaya za karibu yoyote. Mwenye connection ya yyte anaetaka kwenda Singida RRH tafadhali. Tuwasiliane 0783973428
 
MKOA - RUVUMA

WILAYA -SONGEA

KADA - AFYA

CHEO -MSAIDIZI WA AFYA

KWENDA
-MUSOMA
-BUNDA
-GEITA
-KAHAMA
-SHINYANGA
-TABORA
-SINGIDA
NB: KANDA YA ZIWA YOTE NAENDA
NAMBA ::0757490720
 
Back
Top Bottom