Kwako Mh. Rais wa Tanzania DR. John Magufuli,
Popote ulipo unapoendelea na dhamira yako ya kuijenga Tanzania mpya ninakusalimu.
Baada ya salamu hizo pia ninakupongeza kwa kuendelea na zoezi endelevu la kuwaondoa watumishi wote wa serikali waliogushi vyeti. Pia ninakuombea usife moyo kwani...
Ee Mungu nisaidie nisiingiliwe na siasa katika mambo ya msingi. Kweli mtu na akili zako timamu unashabikia mtu mwenye cheti feki aendelee kufanya kazi alafu mtoto wa masikini aliyesoma kwa mtaji wa maandazi aendelee kusota nyumbani bila kazi. Kweli ile ripoti iliyoonesha vichaa ni wengi tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.