Recent content by Apologise lady

  1. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania DOKEZO RITA watakuwa chanzo cha vijana kushindwa kuomba mkopo bodi ya mkopo

    Kumekuwa na mabadiliko ambayo Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi karibuni yaani Miaka ya 2019-2020. Mchakato wa mabadiliko haujatolewa elimu kwa Wazazi ambao ndio hasa...
  2. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya wilaya ya Ubungo, nini kinafanya mshindwe kutatua mgogoro wa barabara ya kwa makombe (Kibwegere) inayotokea Jerusalem (Hondogo)?

    Kumekuwa na ubabaishaji sana kuhusu suala la kufungua barabara ya kwa Makombe hadi Jerusalem, ambayo imefungw na mtu mmoja anayeitwa Jose ph dhidi ya wanaichi zaidi 30 wanao itegemea barabara hiyo, Awali, Ofisi ya wilaya na Kamati ya urasimishaji mtaa wa Hondogo, ilikuja kusikiliza hii...
  3. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania PVC windows gharama zake ni kubwa mno

    FUNGUA PM .....
  4. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za tiles hizi

    Nakujaribu kukuPM inakataa.
  5. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania NIPE DEKODA YA KONTINENTAL NIKUPE STARTIMES

    Nimekujibu pm
  6. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania NIPE DEKODA YA KONTINENTAL NIKUPE STARTIMES

    Ninayo nicheck
  7. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Kuoa mke mbaya ni udhaifu wako mwenyewe.!

    Mweee
  8. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

    Kwa hiyo hakuna anayeweza kutoa historia ya Zamarudi? Isije kuwa katoka ulimwengu mwingine
  9. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Hebu tuijadili hii kauli ya mheshimiwa kwa mkewe

    Kauli siipendi hii......kauli gani ya dharau.....mtu muungwana hawezi kuitumia kwa mke wake.
  10. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

    Umenene Vyema
  11. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Haya uliyoyasema yanaanzia ngazi ya familia.. Kama mtoto analelewa hamuheshimu mama yake, anazunguka na mama ake kwenye singeli kukata viuno, anakaa balazani na wamama wanasimuliana mtoto anazaliwaje, unadhani wanaweza kumuheshimu mwalimu wa kike? Malezi, malezi, malezi.
  12. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Wanaokunywa pombe wana ushirikiano mzuri kuliko Walokole

    Illovo njoo mtumishi uone yanayoendelea.
  13. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Kwanini michepuko ni watamu sana?

    Unadhani kwanin wakitoka wanajituma? Kuna sababu gani zinapelekea hili?
  14. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Nimecheka kama mazuri...hii dunia hii.
  15. Apologise lady

    JamiiForums Tanzania Kwanini michepuko ni watamu sana?

    Michepuko si ni hao hao wake zenu? Au akitoka nje ya himaya ndio mtamu?
Back
Top Bottom