Inatakiwa akapate ushauri wa dkt.
Km ni mfuatiliaji kuna post alipost Joyce kiria akiwa na tatizo hilo hadi akapata kansa ya kizazi. So dkt as possible
What did you "heard" aibu mie naona.
Tutumie lugha zetu.
Khs kukupa hela mi sioni shida kwa kuwa ulishamueleza hali yako akakupenda basi no problem. Sikiliza roho yako inasemaje ndani mwako
Kanda ya ziwa kubwa.
Namaanisha kuwa km ungekuwa mz ungesoma Saut wanafundisha evening kuanzia saa 16:45
Bt km upo interested na OUT well ila what I know kila mkoa nahisi wana ofisi zao.
I declare interest nipo Saut nasoma hiyo course
Yaani ambaye ameshakaa na hawa wadada ndo anajua what to say!
Watoto hawa hawapigwi pasi, yaani sijui uwaelezeeje!
Mimi mpaka mtoto wangu wa 2yrs amemfanya hadi kuwa na akili za utu uxima. For sure niishie hapo ila tu Neema ya mungu iwe juu yetu na watoto wetu. Amina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.