Recent content by AOL

  1. A

    Ishue ya mafao BBC live, NSSF, PPF

    Life expectance miaka 42, kuchukua mafao miaka 55????????? Wanataka kutufanyaje hawa jamaa. Huu ni wizi wazi wazi
  2. A

    Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

    teh teh Lizzy watu wengine wanahadidhia story kama ya mtu mwingine kumbe yao
  3. A

    toka leo nimejitoa facebook -oneni ujumbe huu wenyewe

    I can see ni kweli mambo ya mitandao ya kijamii kwa sehemu kubwa ni kama tumeibaka, haitumiki ilivyokusudiwa ila pia inashangaza mtu una friends 1000 afu unaowafahamu ni 10 tu.
  4. A

    Nimeshindwa kutoa jibu mchango wenu tafadhali!

    Kila kitu kinawezekana ni uamuzi tu, huyo dada asijenge mazingira ya kutoaminika.
  5. A

    Men only!!

    ni uamuzi tu, inawezekana kabisa
  6. A

    Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

    kwa hili umenifanya nigonge like "asante sana" Shida ni kwamba wengi wanataka vitu vigumu kwa urahisi, na basi kwa kua ni masikini wanaamini ni halali wakitumia nje mbaya kupata kitu. hivi unajisikiaje unapoangalia cheti ulichopata kwa kuvua c***i
  7. A

    Mwanamke huyu utamlaumu?

    hakuna sababu hapo hii ni njia ya halilisha uozo tu, je ukiongea naye kwamba unataka hivyo atakataa? je hiyo kutoka nje ya ndoa ndio njia sahihi ya kutatua tatizo hilo?
  8. A

    Mwanaume mtaalamu jikoni

    kwani ukipika mwanaume akipika ndio hawi tena kichwa cha familia?
  9. A

    Hivi wadada wana nini?

    Nini sababu ya mtu kucheat?
  10. A

    Hivi wadada wana nini?

    Daaah people kwa kujustify looh!!!
  11. A

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    Hizi social network hizi watu wanasoshaliziana kweli kwel na wengi tulivyo vichwa panzi.....hivi unakutanaje kwa siri na mtu usiyemfahamu?
  12. A

    It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

    Duuh huu utumwa wa fikira sasa, hivi ukifanya kitu bila kuangalia kwa wengine nini kinafanyika maisha hayaendi? Unangangalia vakesheni kisa TF kampeleka Lizzy? yaani hakuna kabsa yaani daah ni kwamba yaani daaah!!!
  13. A

    "Malaya hao"..!

    hivi urafiki ni nini? au kua marafiki kupo vipi? hapa ninachokiona tunachanganya marafiki na watu ambao tunakutana nao katika maisha yetu.
  14. A

    Is It Possible?

    Ukweli hii ni kukaribisha matatizo katika uhusiano mpya (kama upo), ni ngumu sana kuamini kaalikwa tu je hakuna jingine limejificha?
Back
Top Bottom