Recent content by anzigary8

  1. A

    Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

    Mama ungeweka na majibu ya warioba baada hizo tuhuma za uongo.. mwananchi toleo lilofuatia Warioba alijibu kila kitu na kumuumbua mzee wa fiksi...
  2. A

    Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

    Baada ya kuacha kutembelea gari alikua akitembelea gari gani? Ulofanya research kaka au uliishia hapo kwenye kukataa?
  3. A

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Usitumie neno wananchi tumia maccm tukakataa...
  4. A

    Kwanini Zitto Kabwe hakufahamu kama CHADEMA ina mwenyewe?

    Na wewe uko chini ya nape au lowassa? Unalipwa sh. Ngapi?? Au ndio ww uliempiga mzee wetu warioba??
  5. A

    Kwanini Zitto Kabwe hakufahamu kama CHADEMA ina mwenyewe?

    Ni kweli imekomazwa na UFISADI na kudhulumu utajiri wa nchi hii...
  6. A

    Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Wanasongea wamekuja kuona performance ya wanamuziki bure... na sio kua wanaipenda ccm..
  7. A

    Hoja binafsi: Vodacom wajadiliwe Bungeni, wanahujumu wananchi

    Kaka uwe unatumia kichwa kufikiria na sio sehemu ya kukalia.. maana ya kuelimika ni kwamba ukiona tatizo linalotatiza wenzako walio wengi dawa yake ni kulishughulikia. Ina maana wewe ukimuona mwizi anamuibia jirani yako utamwacha tu aibe eti kwa kua hakuibii wewe?..
  8. A

    Hoja binafsi: Vodacom wajadiliwe Bungeni, wanahujumu wananchi

    Kaka ulichosema ni ukweli mtupu hata mm binafsi imenitokea mara nyingi sana tatizo letu watz kuungana na kudai haki ni shida.. ingekua nchi za wenzetu hawa jamaa wangefungiwa! Maana huo ni wizi wa mchana kweupeee...
  9. A

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Tanzania ijifunze toka Mdahalo wa Kenya!

    Kaka TataMadiba mbona Mwana ccm mwenzako mwigulu juzi alikua ITV kwenye kipindi cha dk 45 au kwa kua ni mdahalo na mnajua mtashindwa kwenye ushindani wa hoja basi ITV inageuka kua chadema.??
  10. A

    Posho bandari laki tano kwa siku!

    Sasa ndo nnajua why kagame alisema akipewa bandari tu Tanzania angeifikisha mbali kama angekua rais wa Tanzania. .
  11. A

    Waijua sababu ya CCM kukimbilia Zanzibar? Itakufa Mei 2015

    Mwisho wa ccm ushawadia, kilichobaki ni hitimisho huku tabata kimanga pamoja na mabomu kupigwa chadema wamechukua serikali za mitaa
  12. A

    Mbowe angekuwa hana mapungufu Zitto angeng'oka CHADEMA bila athari Yoyote.

    Tujiulize chadema imepata umaarufu Mkubwa kupitia mwenyekiti gani..? Bila shaka ni mbowe..! Zitto aliaminiwa na kupewa nafasi kubwa za kiuongozi na nani..? Bila shaka ni Mbowe..! Sasa iweje leo amvunjie heshima mtu aliyemjenga kisiasa..? Zitto tambua wapenzi makini wa cdm hatuna imani na wewe...
  13. A

    Wassira A Visionary Leader Aliyaona yanayotokea CHADEMA

    Chadema ni chama makini sana watabisha lkn mwishoni watakubali wenyewe..!
  14. A

    Kwanini Mbowe alikuwa anasita Zitto asifukuzwe ndani ya chama?

    ChiChiEm ondoeni magamba yenu kwanza ndio muwe na haki ya kuimba ngonjera humu badala ya kupanga njama za kukiuua chama tegemeo la watu wa chini CDM
Back
Top Bottom