Recent content by AnyWayZ

  1. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

    Warudie kuonyesha msisitizo kua wao ni hamnazo.
  2. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

    Huo ni uhuni.
  3. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

    Mimi nashauri tu wamchangie Form Mama yao.
  4. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Africa yalikuaga makazi ya shetani kabla ya mzungu kuleta dini, usishangae sana.
  5. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huo ndo ukweli, watawala wa Africa bado wana akili za Kisokwe. Si hata wewe unaona hapa kwetu. Mzungu arud apige kazi reli zijengwe kwa gharama nafuu na viwanda vifufuke.
  6. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Gambo nilianza kumdharau siku ile alipowafukuza wafadhili walioletwa kujenga hosptali ya akina mama na watoto

    Wachawi wanaotesha mpaka mibuyu katikati ya mradi wa ujenzi kukwamisha barabara, Wanauq mpaka walimu watoto wao wasisome hata Madaktar wanakimbiq vituo vya kazi. Ndo Gambo sasa.
  7. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri

    Pole sana Mkuu, mimi nikupe tu pongezi kwa kujali na kua na huruma kwa Mke wako. Huo ndo uanaume sasa.
  8. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Tabasam by mr blue ft steve na q chief

    Hii hapa.
  9. AnyWayZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kufahamu kuhusu past ya mwanamke na future ya mwanaume

    Kishaumana.
  10. AnyWayZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kumuona Mwanagu, baba yake mlezi ananikatalia

    Huyo Mwanetu ni bwabwa sana. Mzazi halali hanyimwi mtoto labda kama umethibitisha ana nia ya kumuua.
  11. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Morogoro ni ngumu kuwa jiji kubwa la kisasa

    Ni bora niishi Morogoro nikiwa Jobless kuliko kuishi Dodoma nikiwa Mbunge, ile ni mbuga kuu ya Taifa.
  12. AnyWayZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

    Ushashenyentwaaa🤣
  13. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

    Mafanikio ni kuishi miaka 50 ukiwa mwenye afya njema, peza za kujikimu kisawasawa na mwenye nguvu za mwili. Yaani usiwe tegemezi sababu ya afya, pesa au umri.
  14. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Huu ni ujinga bado na kutupumbaza, Askari huyo huyo ataenda kufanya kazi halali akiwa na gwanda ila wakimtuma kufanya utekaji haramu anavua gwanda shida iko wapi?
Back
Top Bottom