Mwingine hautoiLazima utoe harufu hio haikwepeki tena inabidi uvumilie sana
Ndio hautoi unajivundika siku akianza kutoa harufu kashaoza kabisa hatamaniki tena hata kumsogelewa yaan kashatafunwa sana huko ndaniMwingine hautoi
Drop namba pm nitakupigia asubuhiThanks mkuu nikufuate dm unielekeze zaid pls
Fungus hiyo mkuu ,kuhusu kutumia dawa lakini changamoto haikomi shida inaweza kuwa hazingatii usafi thus all maana anaweza akawa anatumia dawa lakini usafi hazingatii so far lazima turudi kule kule mkuu pòle sanaaaNawaza sana hivi umesema Uchafu Mweupe au Ute Mweupe? Mzito Maziwa Mgando yaan Mweupe? Uchafu au Ute?
Ulipoaribika uja uzito alisafishwa lakin ilionekana hawakumsafisha vizur ikabid wamrudie tena tangu hapo hajawai kuwa sawaMKuu na wewe unapaswa kupima, fanya kipimo cha kuotesha mkojo (Culture) huenda wewe ukawa ni carrier wa fangasi ukawa unamuambukiza yeye. Amini nisemayo, unaweza ukawa una candida kwenye njia ya mkojo ambao wewe hawakudhuru ila ukija kwa mwenzako unamwagia wa kutosha.
Lakini jambo la pili huenda huo uchafu ukawa unatokana na Hormone imbalance sio lazima iwe maambukizi pekee. Na hapo alipokua mjamzito ndlo alipatwa na mabadiliko makubwa ya hormone. Katika hili umuone daktari wa magonjwa ya wamama.
Pole sana mkubwa, jitaidi upate dactari bingwa wa magonjwa ya wanawake hasa hasa wa uzazi naamini watamsadia mke wako kuludi katika hali yakawaida. Ila pia ukipata nafasi pale masana Kuna dactari anaitwa Doctor Ndolele pale Masana hospital . Mnaweza kwenda kumuona ana deal sana na magonjwa ya wanawake anaweza wasaidiaHeshima kwenu wakuu
Kama kicha cha habar hapo juu mke wangu amekuwa na hili tatizo miez sita sasa amekuwa akitokwa na uchafu ukeni Kama maziwa mgando iv,hii shida ilianza alipopata uja uzito bahat mbaya mimba iliharibika nilimwaisha hospital akapata huduma saf na kusafishwa pia,lakin tangu apo ndo shida ilipoanza nimeenda sono zaid ya mara 6 hana shida,
Amepimwa saratan hamna ametumia dawa na sindano pia lakn bado shida iko pale pale magonjwa yote ya zinaa tumepima majibu ni hamna,
KWA SASA MKE WANGU AMEKOSA NURU,HAJIAMINI TENA,ANAONEKANA KAMA MTU ALIEKATA TAMAA
msaada wenu wakuu ili aweze kuwa salama tena
PID tukuka... vitunguu saumu kwa sanaHuu ni uchafu mkuu sio ute ni mfano wa mabonge madogo madogo ya mtindi asee yan amekuwa hajiamini kabisa mpaka nuru imepotea
Usioe kwani lazmaHizi changamoto za Wanawake ndio hua zinanifanya nifikirie mara 3 3 kuoa kisha ndani aje aanze kuishi na configuration za ajabu sijui PID mara Fisitula aisee nawaza sana
Waliooa wanawaonea wivu mabachela 😁Hizi changamoto za Wanawake ndio hua zinanifanya nifikirie mara 3 3 kuoa kisha ndani aje aanze kuishi na configuration za ajabu sijui PID mara Fisitula aisee nawaza sana