Atukuzwe Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo hapa ndani
Shalom Aleichem Jumuiya
Salaam Aleykhum Enyi Waja
Mwadila Mpola
Mwagona Mwagona
Simboni
Mughonile mwebha
Mwakata mweh
Naam naam; ndugu zangu salamu ni Ibaada, hivyo hata uswali, usali vipi lakini kama husalimii wanaokuzunguka basi...
Sijasema hivyo au kupinga Ila nimeuliza tu Mfano gari ikiwa katika Hali nzuri basi huwezi nunu kisa plate ni D ??
MSINGI wa swali number Moja ni je tunanunua plate number au gari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]lakini kama hatujakualika na shida zetu hazikuumizi wewe umeingilia wapi na kuanza kuumia sasa. I think you should not allow your rotten mouth to speak bro umesema sina akili asa kama unazo Una maintain vipi kujibizana nami
Umejuaje kama nimetumia akili za kichwani kufikiri na siyo akili ya magotini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wake up from your box bros, don't come here and spit these nonsense instead
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.