Recent content by anunnaki

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

    Waweza kuwa sahihi mkuu, ila miaka ya 2010, hizi habari za Nibiru na Planet X zilivuma sana, tukiaminishwa kuwa doomsday imekaribia. Bahati nzuri haikutokea. Kumbe ulikuwa uzushi tu. Sina uhakika kama hizo habari ni kweli au la. Kama siyo, basi hiyo induced singularity uliyoisema, itaweza...
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

    https://www.jamiiforums.com/threads/nimetapeliwa-50k-na-huyu-dada-tuliyeheshimiana-sana-nipeni-mbinu-nataka-nimfanyie-umafia.1972676/unread
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dhahabu: Ufunguo wa maisha ya milele

    Enki.........
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanza imeharibika kwa ukahaba

    Yaonekana vibinti vinapendwa sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Robotics & microcontroller programming

    Nashukuru tena Mkuu. Nilipata za kwenye photocopy machine maeneo ya SIDO Gerezani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi chuoni (BA Lecturers)

    Kwa wale waliotayari kufundisha programme ya Business Administration ngazi ya undergraduate fungueni attachment kuona nafasi za kazi zilizoainishwa.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi chuoni

    Ni mtazamo wako hasi tu mkuu. Nami nimepata taarifa muda huo huo nikaona nifanye ku-share kwa muda uliobakia. Kwa ulimwengu huu wa digitali, masaa matano yaliyokuwa yamebakia ni zaidi ya muda unaohitajika kwa mtu kutuma maombi kwa njia ya email. Kama kila kitu kipo, nusu saa yatosha kukamilisha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi chuoni

    THE UNITED AFRICAN UNIVERSITY OF TANZANIA (UAUT) is the private institute of higher education founded by Korea Church Mission Registered Trustees, with the objective of alleviating poverty and promotion of growth through raising Tanzanian Christian leaders who are equipped with excellence in...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Robotics & microcontroller programming

    Ubarikiwe Mkuu dronedrake
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Robotics & microcontroller programming

    Habari wakuu wa Tanzania ya viwanda. Naweza kupata wapi Bipolar Stepper Motor NEMA17, 12V, resolution 1.8 deg/step na torque kuanzia 26N/cm na kuendelea?
  11. A

    JamiiForums Tanzania kwa anaefahamu fundi mzuri wa radio au mafundi wa sony

    Ni vema kama ungeweka Model No. na uelezee tatizo la hiyo radio yako
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kaspersky Internet Security Multi-device 2017

    Mkuu, angalia inbox
Back
Top Bottom