Pamoja mkuu.Hongera sana chief kwa hii kitu. Big up saana
Gharama ya kuwa na kits zote for home based lab inaweza kuwa kiasi gani. Hapo niwe na Powersupply, cro, signal generator, design and testing kits zote including softwares. Au basic kits for home lab/workshop Nataka hii kituPamoja mkuu.
Mkuu kwa ujumla sifahamu bei ya hivyo vitu,ila niliwahi uliza CRO ikapatikana humu JF 2012 kwa sh 800,000/-, nikaachana nayo nikafanya plan B.Gharama ya kuwa na kits zote for home based lab inaweza kuwa kiasi gani. Hapo niwe na Powersupply, cro, signal generator, design and testing kits zote including softwares. Au basic kits for home lab/workshop Nataka hii kitu
Nimekupata nitakuwa Kea link ya jamaa designer wengine utapata kuongeza kitu. Good job.Mkuu kwa ujumla sifahamu bei ya hivyo vitu,ila niliwahi uliza CRO ikapatikana humu JF 2012 kwa sh 800,000/-, nikaachana nayo nikafanya plan B.
Kwa vitu ulovitaja hapo juu, ni kimoja tu ambacho niliwahi nunua,Oscilloscope(lakini siyo CR bali USB). Kwa kuwa muda mwingi na-deal na digital sytems,nikanunua logic analyzer.
Mi ni newbie katika fani, mara nyingi project zangu natumia plan B solutions ili tu nisikwame kile nifanyacho kwa kukosa vifaa. Power supply kwa mahitaji ya project huwa na-DIY au na-hack ready-made, cha msingi nijue power supply requirements. Signal generator natumia software version au na-DIY pia kwa simple waveform nitakayo kama square wave, hata PWM signal. Muda mwingi nafanya kwenye simulator.
Ndiyo yawezekana Mkuu.Nimekupata nitakuwa Kea link ya jamaa designer wengine utapata kuongeza kitu. Good job.
Unaweza kufikilia kutengeneza simple Powersupply kwa akili ya practical za physics mashuleni maana wengi wanatumia mabetri ambayo wkt mwngn hawa partially discharged we
How To Create A Locally Made Inverter With Ease - Science/Technology - NigeriaNimekupata nitakuwa Kea link ya jamaa designer wengine utapata kuongeza kitu. Good job.
Unaweza kufikilia kutengeneza simple Powersupply kwa akili ya practical za physics mashuleni maana wengi wanatumia mabetri ambayo wkt mwngn hawa partially discharged we
Ninazo PIC16f877A 40pin, PIC16F628A 18pin na PIC12F629 8pin nipo mbeya kwa sasa.Habari wakuu.
Naweza kupata wapi AVR ATMega microcontroller yeyote ya DIP package kwa Dar?
Kama upo arusha au upo jiran na arusha nenda kwa aleki. Eastsidesides au nichek 0755680562. Kama upo dsm nenda kwa big audio sinza. Na pia ukitaka njoo nikufanyie mwenyeweJamani wapi napata mziki mkali original Kwny gari
Asante Mkuu, hizo PIC family ninazo na nilizipata kwa alpha1. Nahitaji kujaribu flavour tofauti.Ninazo PIC16f877A 40pin, PIC16F628A 18pin na PIC12F629 8pin nipo mbeya kwa sasa.
Habari wakuu wa Tanzania ya viwanda.
Naweza kupata wapi Bipolar Stepper Motor NEMA17, 12V, resolution 1.8 deg/step na torque kuanzia 26N/cm na kuendelea?