Recent content by Antmatter

  1. Antmatter

    Migodi ya dhahabu kuanza kulipa ushuru

    Sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusiana na hii taarifa, pengine ungetuambia mwanzoni walikuwa wanalipa kiasi gani. Ninavyofahamu ukijulishalipa kodi zote ( kutoka kwenye mauzo ya dhahabu+PAYE ya wafanyakazi migodini) ilikuwa haizidi hata 3%. Ila taarifa zilizopo ni kuwa midogo ilikuwa inalipa...
  2. Antmatter

    Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

    Kwenye red, simtetei kwa sababu kadanganya umri lakini kuchelewa kuanza shule "form one "akiwa na 19 yrs inawezekana kutokana na matatizo ambayo huenda yakachangia kuchelewa kuanza shule. Mm nilianza Form One nikiwa tayari nina 20!!!!!.
  3. Antmatter

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Ndo ilivyo, check Mwananchi. Wanasema wametumia matokeo ya tar 14 dec
  4. Antmatter

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Safi sana kamanda, unaweza kunipa ndondoo kidogo za ushindi wa vijiji kama Kasota, Nzera, Nyamboge etc!!!! (previous results)
  5. Antmatter

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mwenye matokeo kutoka Geita!!!!!!!!!!!!!, Mawazo tunakusubiri utupe updates kutoka Geita
  6. Antmatter

    Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

    Kama kuna ambae anaweza kunielewesha nitafurahi. Kwa tarifa zilizopo mkataba wa IPTL ulikuwa miaka 20, 1995-2015. Katika kipindi hiki mgogoro pamoja na wizi ndo vimetokea. Lakini kwa sasa tena IPTL imeongezewa miaka 20, yaani mpaka 2035. PAMOJA NA MATATIZO YOTE HAYA NANI ALIYEIONGEZEA IPTL MUDA...
  7. Antmatter

    Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

    Soma maelezo vizuri utaelewa tu. Kwanza kuna overpayment 2002-2006, kuna overpayment 2006-2012 zilioenda Escrow account (hii ni tofauti na total payment iliyokuwa inaenda Escrow kutoka Tanesco) na kuna riba ya hizi cash.
  8. Antmatter

    Mwanachi: Meghji alisajiliwa Bara kamati Bunge Maalum

    duh; huyu sasa kishakuwa MZANZIBARA
  9. Antmatter

    Idadi ya sayari zinazolizunguka Jua

    tuko pamoja kwa upande wa jina la galaxw yetu tu lakini si katika ukubwa wake pamoja na stars zilimo. You cant be serious saying the Milky way is one of the smallest galaxies. Real there is onlw one star in the Milkw way, real!!!!!! and some distant galaxies have two stars!!!!!!????????.
  10. Antmatter

    Idadi ya sayari zinazolizunguka Jua

    Rolla kwa taarifa tu The Milky way galaxy ni moja ya galaxies kubwa na kwa kiwango cha chini kuna zaidi ya stars 200 bils (Kumbuka Jua letu ni moja ya stars kwenye galaxy yetu-The Milky way, kwa maana nyingine Jua ndo nyota yetu tunayoizunguka ikiwa na hizo sayari 8). Most of the stars you see...
  11. Antmatter

    IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

    Dar es Salaam. It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget. They will only give it out upon seeing-and being satisfied with-the outcome of the...
  12. Antmatter

    Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba alikiuka kanuni zake Mwenyewe kura za nje?

    (9) Mjumbe yeyote aliye nje ya maeneo ya Bunge Maalum kwa ruhusa ya maandishi ya Mwenyekiti anaweza kupiga kura kwa njia ya nukushi, mtandao au njia nyingine yoyote itakayoelekezwa na Katibu baada ya kushauriana na Mwenyekiti na kura hizo zitajumuishwa pamoja na kura nyingine zilizopigwa chini...
  13. Antmatter

    Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

    "(9) Mjumbe yeyote aliye nje ya maeneo ya Bunge Maalum kwa ruhusa ya maandishi ya Mwenyekiti anaweza kupiga kura kwa njia ya nukushi, mtandao au njia nyingine yoyote itakayoelekezwa na Katibu baada ya kushauriana na Mwenyekiti na kura hizo zitajumuishwa pamoja na kura nyingine zilizopigwa chini...
Back
Top Bottom