Recent content by Anthony Marwa Mwita

  1. A

    JamiiForums Tanzania Historia ya Rajani Marijabu a.k.a Jabali la Muziki na kumbukumbu ya nyimbo zake.

    Ni kweli kabisa kwani ilikuwa jambo la kawaida kabisa katika miaka hiyo kwa watoto wa umri huo kushiriki katika muziki na hata kwa shule kuwa na bendi ya muziki nakumbuka shule ya sekondari ya Kazima pale Tabora ilikuwa na vyombo vya muziki pia Mkwawa, Tosamaganga na zinginezo. Japo shule yangu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe matusi ya nini? Hapa alikuwa anamaanisha nini huyu mkongwe

    Kwa wapenzi wa muziki wa Mbaraka Mwinshehe Mwaruka Soloist National, hivi karibuni binti wa nguli huyo aitwae Muhtaji Mbaraka Mwinshehe anayeendeleza kazi ya baba yake, kwa support ya KC Media (kampuni yangu), amerekodi wimbo mwingine wa baba yake aliourudia upya katika studio za KC Records...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe matusi ya nini? Hapa alikuwa anamaanisha nini huyu mkongwe

    Tofauti kubwa kati ya Mbaraka Mwinshehe na Juma Kilaza ni kwamba wakati Mbaraka alikuwa anatunga nyimbo zenye ujumbe wa moja kwa moja, Kilaza alikuwa zaidi akitunga nyimbo katika mfumo wa mashairi (guni) yenye mafumbo, kiasi cha kuficha sana ujumbe hivyo si rahisi kugundua matusi yanayotajwa na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe matusi ya nini? Hapa alikuwa anamaanisha nini huyu mkongwe

    Wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe ulikuwa ni jibu la madongo aliyokuwa akirushiwa na Juma Kilaza wa Cuban Marimba. Jambo hili lahitaji maelezo kidogo. Salum Abdalah Yazidu (SAY) alikuwa mwanamuziki maarufu sana pengine kuliko wote nchini katika enzi zake. Mwanzoni hakuwa na lengo la kuanzisha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge Makumbusho ya Muziki wa Dansi iliyosheheni vifaa, picha za wasanii, wa Muziki wa Dansi. Itakuwa kama sehemu ya Utalii

    Nalipenda sana wazo hilo la kuanzisha Maktaba ya muziki. Binafsi naona kama jambo hili linachelewa na natamani lisibaki kama wazo tu naomba kwa nguvu zote lifanyiwe kazi. Kipenzi chetu cha muziki Masoud Masoud ndiye haswa na kwa kwa uhakika anafaa kusimamia maktaba hii
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe Mwaruka

    Pata mahojiano na mkongwe mwingine wa muziki Robert Simba aliyeimba nyimbo kadhaa na Soloist National Mbaraka Mwinshehe Mwaruka nyimbo kama Uzuri si hoja, wajomba wamechacha, TANESCO, Safari sio kifo na zinginezo https://youtu.be/cF7cZX2iGPc?si=pXeCTjn0dwE8bHiXhe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Wamiliki wa Band na wanamuziki wa Dansi wekeni kazi zenu mtandaoni

    Kwa mara nyingine KC Media yawaletea mahojiano na nguli wa muziki wa dansi aliyepiga muziki na Solist National Mbaraka Mwinshehe Mwaruka kaa mako wa utayari video itatoka wiki hii. Huyu ni ROBERT SIMBA mtunzi na muimbaji aliyeimba nyimbo kadhaa akiwa na Super Volcano SAUTI YAKE YASIKIKA VIZURI...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Hili ni wazo zuri sana, wanamuziki wa rumba wa zamani walifanya kazi kubwa sana naomba wadau mmoja mmoja nao watoe mchango katika hili. Kwanza kwa wale wanaowajua vizuri basi watoe makala ama hata kitabu juu ya wanamuziki hawa wakongwe ama hata kwa kuelezea walivyojisikia kwa kushiriki katika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe Mwaruka

    Wimbo mwingine kutoka kwa Muhtaj SHIA https://youtu.be/eHs0sMm1hrI?si=Q8LbPmCYY_-aHz5x
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe Mwaruka

    Niliahidi kuleta kwenu nyimbo za Mbaraka Mwinshehe zilizorudiwa upya na binti yake Muhtaj Mbaraka Mwinshehe na kurekodiwa katika studio maarufu za KC Records pata link ya nyimbo hizo: Ester, Morogoro yapendeza na Soniasa https://www.youtube.com/watch?v=9MPMSvzN7r0...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamuziki Salum Abdallah alivyopoteza maisha kwa majeraha ya ajali

    Mkongwe David Senyagwa mtaalamu mbobezi wa gitaa la kati asimulia safari yake ya kimuziki Cuban Marimba KZ Morogoro jazz Super Volcano na Mzinga Troupe aliyeshudia joto la ushindani kati ya Juma Kilaza na Mbaraka. Hebu msikilize niliahidi kutoa nyimbo 4 za Mbaraka Mwinshehe zilizorudiwa upya na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamuziki Salum Abdallah alivyopoteza maisha kwa majeraha ya ajali

    Hivi karibuni Saidi Athumani Makelele aliyekuwa mpiga ala ya tarumbets katika bendi ya Supet Volcano alitoa maelezo ya kusisimua juu ya Soloist national Mbaraka Mwinshehe Mwzruka nakukaribisha uayasikilize ttps://youtu.be/fbJ2OlOadnY?feature=shared
  13. A

    JamiiForums Tanzania Udogoni Dar es Salaam 1960s

    Unanikumbusha mengi uchezaji unaousilimulia pia ulituhusu hata sisi. Ilikuwa kawaida miaka hiyo ya 1960-1980 kwa kuundwa kwa vikundi vya jiving shuleni hasa katika shule za sekondari. Uvaaji ni kama unavyosimulia shati jeupe lenye mikono mirefu suaruali nyeupe viatu vyeuse na bow tie. uchezaji...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mihayo Primary school

    Marahaba kwani kweli ni mkongwe pia Ahasante sana kwa heshima uliyonipa lakini jujasema kama na wewe ulisoma shule hiyo bila ya shala katika miaka ya karibuni natamani kujua kama kuna mabadiliko yoyote
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mihayo Primary school

    Hii post ni ya zamani sana lakini hata hivyo imenivutia kuchangia. Ila mimi nimesoma shule hiyo zamani zaidi japo sikumailza kwani nilipata uhamisho pale wazazi wangu walipohamia Morogoro. Nilisoma darasa la tano na la sita mwaka 1968. Wakati huo ilikuwa ni Mihayo Upper Primary School na...
Back
Top Bottom