People who think they are crazy enough to change the world there the one who really do na akasema people dont know what they want untill you show them nikikumbuka hizo quotes zake steve jobs naamini kua jamaa alikua great thinker
Na jeshi la marekani walitengeneza hiyo website wakiwa na lengo lao maalum the onion router(tor) nadhani waliamua iwe sehemu sahihi yakutafuta yote walioyakusudia
Me nadhani si suala lakulinganisha programming language ndio mana kila leo watu huvumbua language mpya ili kutafuta ubora zaidi lakini php na python zote zina utofauti kutokana na kazi husika na muda mwengine mtu anaweza asione thaman ya kitu husika kwakua tu hakipendi kitu hicho ila kwa...
mimi nadhani ungeanza na php ukaisoma vizuri ukisha master hiyo language vizuri sasa hapo itakua rahisi kwako kusoma programing language nyengine kwani utofauti wa programming language mara nying huja kwenye syntax to lakin logic na algorithim hufanana hivyo ningekushauri usome php kiundani...
muda mwengine inapaswa kujua kua ukiwa kama developer sio lazima kutaka kujua research ya muhusika ameifanyia wapi ila muda mwengine mwenye idea nae anaweza kuingizwa kwenye kundi la mjasiriamali kwani ni risk taker mara nyingi mimi mtu anaponiletea idea yake naweza kudevelop na ikitokea...
Api kwa lugha ya kiswahili tuseme ni mkalimani ambae anatumika kutafsiri muingiliano wa program moja kwenda program nyengine unatakiwa kujua lengo na dhumuni lakutengeneza hiyo Api yako mara nyingi mtu unachagua language yakutengeneza Api kutokana na programming language zilizotumika katika...
Pole sana kaka make sure unapoanza mahusiano mengine jaribu kua na mwanamke zaid ya mmoja itakusaidia sana hiyo kitu maana hata shambani sio kila mbegu zinazopandwa huota zote imagine kama ingekua shamba la heka 1 unapanda mbegu moja tu ya mpunga na isiote huoni hasara yake hapo ila pole sana...
Mkuu kuna msemo naomba nikukumbushe tu unaosema kuwa kama aliweza kukuacha mara ya kwanza nakuondoka kitu gani kitakuaminisha kua asiweze kukuacha mara ya pili kumbuka a real one wont leave
Haha hapana kaka haikuwa na setting za internet imenibidi service provider wangu anipatie internet setting maana nilikua nikiweka line ya tigo hotspot inakubali ila nashukuru kwa msaada wenu in any means
Yah huenda ikawa ni sababu pia kutumia matoleo ya zamani ila kwakweli wacha niendelee na hii seven mpka itakapogoma kabisa kunipa ushirikiano niutakao[emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.