Watanzania kwa asili ni wavumilivu. Kwa hali ya maisha ilivyo, nchi nyingine pangekuwa hapatoshi. Chezea njaa wewe. Ukiwa na njaa kisha uniambie una amani, ni kutojua maana ya neno "amani"
Uchaguzi wa mwaka huu! Mungu aturehemu. Tusiombeane vifo. Tumewaona walivyomtabiria ugonjwa mwenzao. Mithali 17:13 "Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, Mabaya hayataondoka nyumbani mwake."
Sifahamu chopa iliyoanguka ilikuwa aina gani na specifications zake. Lakini nimejaribu kutafuta ile ambayo kwa shape inafanana na kuangalia uwezo wa kubeba mzigo - si unafahamu Waswazi mizigo tunayobeba. Kisha nikajaribu kuangalia umbali Ludewa - Dar, was it long range, heavy duty type. Moja...
Nyumba yangu iko mita 50 tu kutoka kituo cha kupigia kura. Tukishapiga kura niihame nyumba kwani sheria inanitaka niwe mita 200 kutoka kituo vya kupigia kura?
Ni shida maana yake nini? Mwaka huu wa raha - ni burudni tosha - kuna changamoto. Ukiwa na usongo na mihasira yako utapata vidonda vya tumbo bure. Siasa ni kama Yanga na Simba. Ushabiki tu. Uwingi wa watu kujiandikisha mwaka huu ni ishara ya kuwa kuna jambo kama si kupata vitambulisho kwa...
Sijawahi kumsikiliza Mbowe, lakini leo, nimepata kitu na natamani nimsikilize siku nyingine. Ametufundisha kulinda haki na ni mzalendo. Bunge lilivyotulia wakati anazungumza ilikuwa ni heshima tosha. Anayestahili heshima apewe.
Kuna kitabu kinaitwa "Thamani ya uwezo uliomo ndani yako" kinahimiza kubadili mtazamo juu ya uwezo ulio nao. Natamani Watanzania wote wangekisoma, lakini ni wavivu kusoma vitabu, na ukimpa cha bure ndiyo kabisa - afadhali umwuzie atapata uchungu wa hela yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.