Recent content by Anophrine D.S.

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya kidato cha sita kutoka Jumatatu

    Matokeo yapo Tu...kutoka yatatoka...cha umuhimu Ni Subira Tu...kila mtu Anasema anavyojisikia...wewe Tulia...tokeo likitoka Tu utajua...kwanza simu utakazopigiwa Tu zitasema kitu....
  2. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo yangu ni haya lakini bado sijapata shule

    Kijana fanya haraka uende ukawasikilize ili ujue Ni sababu zipi zimekukwamisha...hilo SI suala dogo kijana...fanya chap kabla hujachelewa...anza hata ktk ngazi za chini kama kwa afisa elimu kata...kama upo mbali na ofisi za necta...ila kama upo karibu Nazo nenda mapema...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Na Vipi kuhusu nalala za vyeti vya kuzaliwa??,cheti cha kidato cha nne ??n.k...kwani walioenda jkt walibeba hivyo vitu kweli???Sasa watatuma vipi maombi ya mkopo kama hawana hivyo vitu?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Loans Board kuweni serious na mfumo wa kuapply mkopo

    Inakera mno...Subira ndio kitu cha Umuhimu....
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa comb ya EGM unaweza soma kozi gani nzuri wadau Ushauri

    Nasikia Actuarial science wanakuwa ma-Economic Advisers.....nilishangaa kuona kozi kama hiyo Ni 'Non Prior ' kwa Taifa....au wameandika Tu vitabuni???kwa sababu nimecheki katika TCU -Guide Book 2015/2016.... Au wameandika tu???NAOMBA NIELEWESHWE!
  6. A

    JamiiForums Tanzania JKT wasogeza mbele tarehe ya kuripoti makambini kutoka tarehe 05 hadi tarehe 07 Juni 2016

    ILA kama watatoa fomu mapema ,kabla watu hawajaanza kuripoti itakuwa vyema...ama sivyo watatoa taarifa ili ijulikane cha kufanya...ama sivyo wao wanaelewa ...pengine Mambo yamebadilika kwa Mwaka huu....Tuishi kimazoea..
  7. A

    JamiiForums Tanzania JKT wasogeza mbele tarehe ya kuripoti makambini kutoka tarehe 05 hadi tarehe 07 Juni 2016

    Na Vipi kuhusu nakala ya vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya kidato cha Nne??Kama vinahitajika katika kutuma maombi ya mkopo...hii ina maana watakao kwenda Jeshi inabidi waende na nakala hizo???Kwa maana kama wataruhusiwa kutuma maombi wakiwa Jeshini...na ukute mtu Hana nakala yoyote!!!!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Si bure nina ngoma

    Mie 'menisikitisha,Yale uliyotamka , Njanotano menitisha ,menitisha kwa hakika, kwa tabibu harakisha ,ukapate uhakika , Siendelee kukesha ,ili upate okoka!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya engineering inafaa kwa urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa mtu aliyesoma PCM?

    Ila Ni vyema kuwa na SIKIO ili kujua unahitajika wapi...Kabla ya kukurupuka kuchagua kozi kwa urahisi Wa ajira au pesa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya engineering inafaa kwa urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa mtu aliyesoma PCM?

    Agricultural engineering Ni Safi Pia ,,ukizingatia 'Kilimo' ndio uti Wa Mgongo wa Taifa Letu....
  11. A

    JamiiForums Tanzania JKT wasogeza mbele tarehe ya kuripoti makambini kutoka tarehe 05 hadi tarehe 07 Juni 2016

    Labda tusubiri Tu ,Hata wao wanafahamu ,Pengine wana mkakati tofauti kwa Mwaka huu...Hata mimi sifahamu, Ila maadm na wao Ni watu wenye uelewa...Tungoje tuone!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nganza secondary

    Habari wapendwa............Hata mimi ninahitaji japo ''contacts'' tu hata ya mwl sababu kuna mwanafunzi mwenzangu amepangiwa huko(nganza) ,plz help!
Back
Top Bottom