Recent content by Anold S

  1. Anold S

    JamiiForums Tanzania Mwanandoa, yale mambo unayopuuza ati ni ya kitoto ndio mwiba mchomo kwa ndoa yako

    Katika kitu ambacho hupaswi kukipoteza ni utoto maana unafaida kubwa kwenye maisha ya ndoa ila wengi hawaelewi hili na hasa ambao huitajiki kuupoteza utakusaidia kwenye kuwa na furaha,hali ya kusamehe na kupuuza vitu kitu kikubwa kinachowatesa na kuwaharibu watu wazima kama wanavyojiita ama...
  2. Anold S

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

    Ifike nyakati tuamke akili ya mtu mmoja na mawazo yake haviwezi kuongoza mamilioni ya watu bila ya kuwa na watu sahihi nyuma yake yeye qnajiona ndiye mtu mwenye akili kubwa ni dhambi sana
  3. Anold S

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Mfano moja ya vitu vilivyotokea kwenye uongozi ni mataasisi mengi yanayohusika na ukopeshaji wa fedha yametetereka kama sio kufa kabisa na urudi kuangalia ni kundi gani la watu waliyokuwa wanategemea fedha zamikopo kutoka katika makampuni hayo jibu ni watanzania wakawaida sasa rudi katazame...
  4. Anold S

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rudi katika uhalisia katazame maisha ya watanzania wakaida na hali zao kiuchumi halafu ndio useme ubora wa kiongozi huyu tuliye nae
  5. Anold S

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    Sababu ccm siyo mtu
  6. Anold S

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

    Hakuna tija hizi ni blaa blaa tu waliopo bungeni wanatosha watatuletea maendeleo hii michezo yakujificha nyuma ya haki za wanawake ni stori tu wanatutosha haohao
  7. Anold S

    JamiiForums Tanzania ...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

    Vitu pekee vyenye nguvu na vinavyoendesha dunia ni Siasa,Uchumi na Dini .
  8. Anold S

    JamiiForums Tanzania ...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

    Hivi nyie akili mnatumia nini kuzipima haya itoshe kusema wote mnao support Ccm mna akili sana halafu mtu hafundishwi jinsi ya kumfunza mtu acha wafunzane ili wakati mwingine ajifunze kuchakata mambo .
  9. Anold S

    JamiiForums Tanzania ...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

    Mtu kukosa akili kwa mitazamo ya kwako ni matumizi machafu ya hiyo akili
  10. Anold S

    JamiiForums Tanzania ...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

    Kitu pekee kinachoumiza wa tanzania ni unafiki na hofu na woga wa maisha halafu kuna muda wanajikuta na hekima
  11. Anold S

    JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Kama hauna hali yeyote mbaya iliyo katika maisha yako basi ni vyema ukaacha kuwaambia watu wana utoto maana huenda hakuna tunalolijua kuhusu anayoyapitia baada ya huo uchafuzi uliopita wa kisiasa.
  12. Anold S

    JamiiForums Tanzania Bunge la 2020/2025 halina tofauti na vikao vya CCM

    Kwani Corona ina mwaka wa 5 hivi tangu iwepo maana mmeona Corona ndio sababu
  13. Anold S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahusiano mengi ya kimapenzi sasa hivi yanadumu wiki mbili tu, au siku nne tu?

    Mapenzi ni swala panda mno linahusiha hisia upendo na sio matamanio ya haja zakimwili tu .
  14. Anold S

    JamiiForums Tanzania Hii staili hapana kabisa,weka mbali na watoto...imemchanganya chura matata mpaka ananena kwa lugha!

    Giza tu hamna jambo humu doooh.? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Anold S

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Sis wa Tz ni waoga huo tu ndo ukweli. Midomo weee vitendo sifuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom