Mwanandoa, yale mambo unayopuuza ati ni ya kitoto ndio mwiba mchomo kwa ndoa yako

Wakubwa wanafaidi!

Ni nadra sana kukuta wanandoa wakichat kwa meseji muda mwingi, kwa kile wanachokiita ndoa yenye heshima basi hutumiana jumbe nyeti tu au maelekezo ya majukumu yao.

Wakati huo akiwa na mchepuko atajiunga kifurushi cha meseji 3000 na zitaisha kwa wiki. Hii ni kwa wake kwa waume.

Roho ya kila mmoja wao inatamani kufanya huo wanaouita utoto (kuchat), lakini anaona si busara kuchat na mkewe. Anafurahia zaidi kuchat na mchepuko kwa stori nyingi hizo za kitoto.

Ni nadra kama sio hakuna kabisa kukuta mke na mume wanatazama 'pilau' kwa pamoja.

Wakati huo kila mmoja (wengi wao) hutafuta muda wa kutazama pekee yake au na watu anaodhani wanastahili huo 'utoto'.

Huyu akienda kwa mchepuko anakutana na GBs storage za pilau na anafurahia, ila akirudi nyumbani anazificha sio heshima.

Nilitaka kuandika kitu kuhusu chumvini, najua wanawake wengi kama sio wote wanapenda. Ila nami nimeona sio heshima.

Ndugu zangu, itoshe tu kusema kuwa hivyo vitu unavyojilazimisha kujiepusha mbele ya watu unaodhani unawaheshimu lakini bado unavifanya huko gizani, vivyo hivyo mwenzako naye anatamani vile vile.

Wengi huchepuka ili wakafurahie hayo mambo ya kitoto, kisha hurejea nyumbani kwenye maisha yenye kanuni serious ili kutumiza wajibu.

Hata mandiko yalituasa, bila kujifanya mtoto ni ngumu kuupokea wokovu.

Siku nikiwa mkubwa, nitarudi utoto..!!

Ncha Kali.
Bodaboda wanapita humohumo tunapiona sisi kinyaa
 
Katika kitu ambacho hupaswi kukipoteza ni utoto maana unafaida kubwa kwenye maisha ya ndoa ila wengi hawaelewi hili na hasa ambao huitajiki kuupoteza utakusaidia kwenye kuwa na furaha,hali ya kusamehe na kupuuza vitu kitu kikubwa kinachowatesa na kuwaharibu watu wazima kama wanavyojiita ama wanandoa ni hali yakupoteza hali ya utoto
 
Kuna mda tu inatokeaga ,kuanza kuyaona hayo mambo kama utoto ,+ mazonge ya maisha unajikuta umekua mpuuzaji lkn haihalalishi mt kuchepuk ,kam yumo yumo tu.na km anahitaj san hvo vipengele atakukumbusha uvirudishe!!
 
Kuna jimama moja kati ya hayo unayoweza kudhani linajiheshimu balaa, ile kimasihara nikajifanya kama nimekosea clip ya mambo yetu yale.

Kilichofuata basi ikawa kila siku anataka umtumie, jioni anafuta zote.
 
Kuna jimama moja kati ya hayo unayoweza kudhani linajiheshimu balaa, ile kimasihara nikajifanya kama nimekosea clip ya mambo yetu yale.

Kilichofuata basi ikawa kila siku anataka umtumie, jioni anafuta zote.
 
Wakubwa wanafaidi!

Ni nadra sana kukuta wanandoa wakichat kwa meseji muda mwingi, kwa kile wanachokiita ndoa yenye heshima basi hutumiana jumbe nyeti tu au maelekezo ya majukumu yao.

Wakati huo akiwa na mchepuko atajiunga kifurushi cha meseji 3000 na zitaisha kwa wiki. Hii ni kwa wake kwa waume.

Roho ya kila mmoja wao inatamani kufanya huo wanaouita utoto (kuchat), lakini anaona si busara kuchat na mkewe. Anafurahia zaidi kuchat na mchepuko kwa stori nyingi hizo za kitoto.

Ni nadra kama sio hakuna kabisa kukuta mke na mume wanatazama 'pilau' kwa pamoja.

Wakati huo kila mmoja (wengi wao) hutafuta muda wa kutazama pekee yake au na watu anaodhani wanastahili huo 'utoto'.

Huyu akienda kwa mchepuko anakutana na GBs storage za pilau na anafurahia, ila akirudi nyumbani anazificha sio heshima.

Nilitaka kuandika kitu kuhusu chumvini, najua wanawake wengi kama sio wote wanapenda. Ila nami nimeona sio heshima.

Ndugu zangu, itoshe tu kusema kuwa hivyo vitu unavyojilazimisha kujiepusha mbele ya watu unaodhani unawaheshimu lakini bado unavifanya huko gizani, vivyo hivyo mwenzako naye anatamani vile vile.

Wengi huchepuka ili wakafurahie hayo mambo ya kitoto, kisha hurejea nyumbani kwenye maisha yenye kanuni serious ili kutumiza wajibu.

Hata mandiko yalituasa, bila kujifanya mtoto ni ngumu kuupokea wokovu.

Siku nikiwa mkubwa, nitarudi utoto..!!

Ncha Kali.
Mwenye masikio na asikie
 
Back
Top Bottom