Recent content by Anneth David

  1. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Najaribu[/purple]
  2. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Tar 21 si hatari Tar za hatar kwake ni 9 hadi 19
  3. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani?

    Stress hizo
  4. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    HR mbona hunijibu jamani
  5. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    Watu km wewe ni kawaida sana kuwepo heri yako wewe usiyepata matatizo
  6. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    Hospital waliwaambiaje ? Vipi mwili una nguvu? Anaweza kushika kitu mkononi? Kukaa akiwa ameweka mikono chini anaweza?
  7. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    Anarusha miguu sana tu, tatizo ni hilo hajaweza kukaa pia kujigeuza mwili mzima akiwa amelala bado
  8. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    Ntalifanyia kazi Asante
  9. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    Najitahid sana kumpigisha lakini bado
  10. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

    Ulimpeleka hospital?
  11. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuchanganyikiwa

    Ni mtu Mzima? Chanzo cha tatizo ni nini?
  12. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Hesabu siku ya kwanza kupata hedhi had ya kumi hapo ni salama, siku ya 11 Hadi ya 18 ni hatari anaweza kupata mimba
  13. Anneth David

    JamiiForums Tanzania Siku ukipata bahati ya kuonana na HR 666 utamwambiaje

    Hiyo 666 ndo namba ya mpinga kristo au?
Back
Top Bottom