Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

Kawaida wiki sita baada ya mama kujifungua anatakiwa afanya appointment na paediatrician anaefanya assessment ya wiki sita. Katika appointment hii, motor skills za mtoto zinaanza kuonekana kwani atakauwa anarusha miguu na mikono, kama kunatatizo linaanza kushughulikiwa kuanzia hapa.
 
Anarusha miguu sana tu, tatizo ni hilo hajaweza kukaa pia kujigeuza mwili mzima akiwa amelala bado
 
Ndio tumeenda sana lakini bado hali ipo vile vile

Tunataka tujaribu kumpeleka india au marekani tuone hali yake itakuwaje
Hospital waliwaambiaje ?
Vipi mwili una nguvu?
Anaweza kushika kitu mkononi?
Kukaa akiwa ameweka mikono chini anaweza?
 
Nikawaida. Hii ni hatua tunayowalazimisha watoto kufanya hata kama hawako tayari kukaa. Akifika miezi 9 kama hajaanza kukaa anza kuwa na wasiwasi umpeleke kwa daktari wa watoto. Naturally wanaanza kusota baadae wanakaa.
 
Back
Top Bottom