Recent content by Annah Mosha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Unauzia fridge zako wapi ndugu yangu... nikutafute nataka fridge ya mtumba
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananikumbuka akiwa na shida hili hali hanaga muda na mimi

    Hello... habari ya wewe kwana kaka yangu mwenye macho anaambiwa tazama!!!! Ina maana hata vitendo uoni au!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

    JamAniwmwenye kujua matokeo ya huyu mwenye S. H Amon naomba anijuze maan ni muhimu kujua huyu mtu imekuwaje
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sofa used inauzwa

    Naomba kujua anauza na vitu gani tena!! Ili tuongee biashara
  5. A

    JamiiForums Tanzania Muuza mafriji na mafriza

    Naomba uni Pm namba yako nahitaj friji ya mtumba medium size
  6. A

    JamiiForums Tanzania Niko Safarini naelekea Jimbo la Moshi Mjini (Moshi) kushiriki kampeni za CCM!

    Tena jana juzi ijumaa ameitisha hadi kikazi cha ukoo ili kuomba kura yaan Kula tumekula ila kura kwa Jafari
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nilienda St. Joseph -Soweto then KCMC ndo walioniambia hivyo... nimemuachia Mungu ila najitahid kumpa vitu/vyakula nilivyoambiwa kwa ajili ya choo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba unisaidie maana mtoto wangu analo tatizo hili nikaenda hospitali wakanipa anusal yaan ameshatumia sana na hospitali wakaniambia hawajawah kumfanyia upasuaji mtoto mdg hivi ila nijitahid kumpa mbogamboga, matunda kwa wingi pamoja na maji mengi.... plz nisaidie
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nipo Moshi kikazi, mbona utitiri wa shule kila kona ninayopita?

    Aisee nimesoma Nronga kule ni balaa hakuna nyumba ya udongo na zaziwla ng'ombe huko ni kama nyumba ya kuishi mtu maan limejengwa kwa matofali ya cement na na mlango wa grill kabisa yaan Chagga's tupo juuuuuuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nipo Moshi kikazi, mbona utitiri wa shule kila kona ninayopita?

    Am proud to be Chagga
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto anarithi akili ya kuzaliwa kwa baba au kwa mama?

    Hapa ni kweli asilimia 95...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Jamani mbavu zangu mie..... yaan Am proud to Chagga hata kama Moshi haiendelei lakin ni mji unaoongiza kwa usafi na umejengwa kwa mpangilio hivyo tupo juuuuuuu zaidi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuhusu Dawa ya P2

    mari mari P2 unatakiwa umeze kabla ya masaa 72 baada ya kufanya hilo tendo (sex)hivyo yakishapita Hayo masaa haitaweza fanya tena kazi.... hivyo my dear kuwa huru umewah hivyo hakuna chochote kitakachotokea
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kingamuzi cha StarTimes

    Ngoja na Mimi nijaribu maan ni balaa kwangu
Back
Top Bottom