Recent content by annagrace

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    KWANI NILIOMBA UNIZAE TOKA WEWE NENDA KWA BABAAKO KAMA NAKUBANA
  2. A

    JamiiForums Tanzania Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Binadamu tumekuwaje sijui matamaa ya kijinga na huku hayo madude tunayokimbilia tutayaacha hapahapa aseee
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

    Mpumbavu huyo na slave mentality yake ya kale
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

    Acha wanaojua kubembeleza wafanye usieweza pita kushoto kwa matumla wenzio Umbea tu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Usisahau kulogana aseee Ndugu mbwa tu walah
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kulewa kupitiliza ni aibu

    Na ubinafsi wenu eti MWANAMKE asinywe yaani mambo mazuri mwataka nyie tu Kunywà anywe ila ulevi sio mzuri Kunywà kwa afya
  7. A

    JamiiForums Tanzania S&S Service center company LTD

    Mostly welcome our beloved customers. Let us serve you with services such as; House keeping Gardening Fumigation Couriers Security General cleanness Tunapatikana boko basihaya MKABALA na jengo la WEMA, Dar es salaam For more inquiry please reach us through 0779752503/0763408427...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Amkimbia mume wake kisa kachoka kumuuguza, amuachia mtoto 'alilazimisha talaka'

    Safi sana dada akauguzwe na ndugu zake hukoo
  9. A

    JamiiForums Tanzania MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

    He he he poleni watani zetuuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Wanaume wengine mna utindio wa ubongo utaacha wangapi, Kaa chini na mkeo muulize mahitaji yake binafsi mtimizie
  11. A

    JamiiForums Tanzania Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nilivyoshuhudia uchawi wa chuma ulete

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Africa aliyeturoga kafwaaaaa duuh!!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kurudisha simu

    Asante mkuu
Back
Top Bottom