Recent content by AnnaG

  1. A

    JamiiForums Tanzania msaada madaktari

    Thanks alot
  2. A

    JamiiForums Tanzania msaada madaktari

    Asante kwa ushauri na kunitia moyo
  3. A

    JamiiForums Tanzania msaada madaktari

    Nimeenda mpenzi, ila Dr kanambia lazima nipasuliwe huku alivonipima ultrasound alisema kizazi kipo vizuri na mtoto naye yuko vizuri
  4. A

    JamiiForums Tanzania msaada madaktari

    Asante kwa ushauri my dear
  5. A

    JamiiForums Tanzania msaada madaktari

    Miezi 6 ya nini mkuu?
  6. A

    JamiiForums Tanzania msaada madaktari

    Habari zenu wa ndugu, naomba madaktari mnisaidie. Mimi ni mjamzito wiki ya 23 mtoto wa kwanza nilimzaa kwa operation na alikaa wiki 2 tu akafa. Sababu niliambiwa njia ilifunguka hadi cm 6 ikagomea hapo hapo hadi wakaamua kunifanyia upasuaji. Baada ya mwanangu kufaliki nimekaa miaka 2 ndo...
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nimsahau?

    Oneni mlivo na roho mbaya! Huwa hamuwezi kuvumilia hata kidogo! Sasa ulimuacha ili aolewe na nani!! Mfyuuuu...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri : Hivi malavidavi ndo yanakuwa hivi au mimi mshamba? Maana naelekea kutokwa na roho

    uuwwiii!! Mwenzenu nimecheka natoa sauti... Aha ha haha
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

    Mbona mnajibu kwa kukwepa? Nyie mkiombwa pesa mnalalamika oh! Wanawake wanapenda pesa, oh! Wanawake hivi na vile, sasa na nyie mmeingia huko huko! Kwa hiyo mmeona mnapunjwa mmeamua nanyi muwe tegemezi!!
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anatumia simu yangu na kutuma SMS za kichokozi na kupigia marafiki wangu wa kike

    Duh! Ushauri mwingine ni wa kijinga. Mshauriwa lazima ujiongeza
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sijapata mchumba

    Maadam sijapoteza wa kwako uwe na amani
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sijapata mchumba

    Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakini mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Karibu pm
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anazidi kuwa kibonge

    ;);):(:(
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why me? Kila mahusiano napitia magumu

    Angekuwa na tatizo wasingerudi baadae, wao tu na mawenge
Back
Top Bottom