Recent content by Anna333

  1. Anna333

    Mawazo mgando: Unakataa kulima ili ukafue nguo Ulaya

    Wazungu wapo sensitive kila idara. Hata kufagia. Uchanganyaji wa madawa ya kupigia deki. Inategemea unaongelea nchi gani. Ulaya hailingani kila nchi na sheria zake. Acha hizo maisha yamekupiga chenga
  2. Anna333

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Yaani wewe utamchukua mwanamke tuuu nakulala nae kabla hamjaogaaa?,
  3. Anna333

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Na wewe utarambaje yenye manyoya? Pata mwanamke msafi.
  4. Anna333

    Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

    Kwa ajili ya kuachiwa huru watu flani flani?
  5. Anna333

    Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

    Ukishi kwa ajili ya jamii utakosea step. Fanya kile roho inapenda. Utapoteza bahati bure. Mapenzi humea popote ilimradi ni mapenzi ya ukweli
  6. Anna333

    Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

    Jamani hawajaona ule ulikuwa wimbo tu. Irenebado anaishi kwake na mwanae. Na alilipwa chake.
  7. Anna333

    KERO: Masanja Mkandamizaji kutumia Ulokole kinyume na maadili ya Kipentekoste

    Jamani hivi mnjua biashara ngapi anafanya mashanja? Vijana fanyani kazi. Masanja ana mashamba ya mpunga kivao huko vijijini, ana kampuni ya ulinzi hapo Dar na vimgahawa hapo Dar plus na sadaka[emoji16] na alinza biashara kitambo
  8. Anna333

    KERO: Masanja Mkandamizaji kutumia Ulokole kinyume na maadili ya Kipentekoste

    Mbona kama una chuki binafsi vile. Lete mstari wa biblia unaoonyesha sheria za mavazi hasa ukiwa mlokole. Binafsi nilimuona mchungaji anavuta sigara. nikamuuliza mwanini anavuta sigara? Akanijibu hata kwenye biblia inasema fuata maneno yangu usifuate matendo yangu” nikaishiwa pozi.
  9. Anna333

    Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

    Tatizo gemu za nje zinakuaga tamu. Ndio turidi kulekule. Mwanaume usimzoee mkeo, piga game kama mlipokuwa washikaji
  10. Anna333

    Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

    Huoni kwamba utaivunja ndoa ya huyo mwanamke? Uangalie na upande wa pili pia.
  11. Anna333

    Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

    Jamani TZ mtaendelea lini? Yaani kuwa na gari uanaume. Wewe lzima umeingiza mgari yako yankudodea pale yard. Uanaume ni kumtoa girl/mke/watoto out na kufanya starehe zote na familia kuangalia mahitaji muhimu. Nchi za wenzenu mtu anapata license akiwa na miaka 18. Na hata hajui atanunua lini...
  12. Anna333

    "Bora msagaji kuliko mume wangu"

    Kufananisha msagaji na hao wase.. ni vitu viwili tofauti. Msagaji anatumia sehemu ileile. Ila anakuwa na ujuzi zaidi na zana zinazofanana na maumbile ya kiume (kama anazo) sasa wanafananaje hao wanaotumia mapenzi kinyume na maumbile? Kuna baadhi ya wanaume wakubali tu kazi hawaiweize ipasavyo...
  13. Anna333

    Mkuu Wa Polisi Kawe Tuondolee Huyu Lesbian Mbezi Beach Anatuharibia Mabinti Zetu

    Nawapendea hapo waTz kwa kuweka hisia zenu binafsi. Baa ya kuunga mkono na kulikemea jambo hili, ila ndio kwanz mnamdhihaki. Akiua mtakuja kusema kwa nini kachukua sheria mkononi
  14. Anna333

    Mkuu Wa Polisi Kawe Tuondolee Huyu Lesbian Mbezi Beach Anatuharibia Mabinti Zetu

    Siku akidhalilishwa mwanao na matomboy wanotumia dildo ndio utajua uchungu wa huyu mwandishi
Back
Top Bottom