Recent content by anko icram

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

    Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, wanachama wa Chadema wana kazi kubwa sana kwa mujibu wa ripoti hii, binafsi sitaki kuwapangia namna ya kuchukizwa na madudu yaliyoripotiwa humo kuhusu harufu ya ufisadi ndani ya chama, ila kwasababu kwa miaka mingi wanajipambanua kama watu wanaochukia uchafu nadhani...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba niseme na baadhi ya wanamume

    kwa sisi watt wa kiislam hairuhusiwi kukojoa huku ukiwa umesimama kwani tone la mkojo ni najisi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba niseme na baadhi ya wanamume

    kwa sisi waislam haifai kukojoa huku ukiwa umesima
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wabunge waliochaguliwa na wananchi kujiuzulu iangaliwe kwa jicho la pili. Kuna tatizo!

    ndege wafananao ndo huruka pamoja
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jamal Malinzi, Mungu anakuona ujue

    *Hapa ndo tujiongeze kama malinz kashikwa tu siku ya 3 yupo lock up tumefika nusu fainal je akifungwa miaka si ndo tutafiaka kombe la dunia tu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. A

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMANI KWA MAUAJI YA YESU

    KESI YA MAUWAJI YA YESU Dola Indidis ni mwanasheria kutoka Kenya aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a theological thing" Yeye anachoangalia si unabii bali legal procedure...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    KWA UFUPI KUHUSU SHULE ALIZOSOMA MBOWE BIN GASTURA ¦¦ Alisoma shule ya msingi Lambo-Moshi kwa bahati mbaya hakuchaguliwa, ila baadae akajiunga kusoma 'form i-iv' shule ya sekondari Kibaha mkoani Pwani. Je unadhani aliipata vipi hiyo nafasi ilihali hakuchaguliwa! ?, na mwisho akasoma 'form...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    Je Freema Mbowe #AlisomaShuleGani? #AlisomaMwakaGaniMpakaGani? #AlikuwaAkitumiaMajinaGaniShuleni? #BabaMkweAlitumiaVigezoGaniKumpaAjiraPaleBOT? Haya ni maswali mepesi ambayo wafuasi wa msafara hushindwa kutoa majibu, badala yake huamua kutukana tu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania samahani kwa picha ya kutisha hii

    hiyo picha inawatisha sana mashabiki wa yanga
  10. A

    JamiiForums Tanzania samahani kwa picha ya kutisha hii

  11. A

    JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    *Et _Kichuya_ kama _Popobawa_ Akikupitia usipo tangaza Anakurudia tena... Dakika zake zile zile za kuelekea kukucha* [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
  12. A

    JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba Simba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Mateja hawawezi kucheza mpira kwa kujiamini mbele ya mapolisi wote wale.....nilijua tu watafungwa...[emoji38][emoji38][emoji38]
  14. A

    JamiiForums Tanzania CCM inawapoteza wafuasi, itazidi kubomoka zaidi hadi kufikia 2020

    *hebu nikumbushe uchaguzi huu mdogo ulofanyika chama gani kiliongoza na ukishapata jibu hyo ndo itakuwa tafsir halisi kama ya kupoteza wafuasi au kuzidisha wafuasi* #viva ccm# #viva magu#
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka! Nakunywa pombe sana, nina msongo wa mawazo

    ongeza na madawa kabisa
Back
Top Bottom