Tufanye kazi zetu binafsi kujiongezea kipato akili za kusubiria matamko ya nyongeza Tuachane nayo. Kuna watu wapo kitaa wanafanya makubwa na hawakuwa na mitaji makubwa cha msingi tuelimishane kuhusu fursa na namna ya kuzichangamkia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.