Recent content by Anita Kajembe

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    Jirani yangu aliposikia hii habari alisema “huko ndiyo kupona kwenyewe, mara tu mtasikia kuna sindano inayomaliza wadudu wote”.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku. Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Akiupiga mwingi

    Zile ambazo ni mrefu kuliko lile jiwe!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Akiupiga mwingi

  5. A

    JamiiForums Tanzania Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

    Nchi za SADC ni walaji wakuu wa mahindi. Kutokana na Globalisation wakazi wengi wa nchi hizi wanaishi Ulaya, Marekani na Australia. Hawa ni wateja wazuri wa unga wa mahindi. Kampuni ya Iwisa ya South Africa imefanikiwa kupeleka unga wa Iwisa nchi zote nilizotaja hapoejuu. Waganda pia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu katika dunia ya digitali yamekua usanii na rahisi sana

  7. A

    JamiiForums Tanzania Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Ndiyo na unsmpatisunampatia uniforms na apron akiwa anapika.
  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

    Mmh huu uchifu wa Chifu Hanganya uhakikiwe.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

    Hitaji la nyumba bora za kuishi Tanzania ni kubwa mno, si mijini wala vijijini. Kutokana na hitaji kuwa kubwa, kodi za nyumba hasa mijini ni kubwa sana. Kijana anae anza maisha anatumia 3/4 ya kipato chake katika makazi, hii ni pamoja na kodi, umeme na maji. Vijana wengi wanawaza kujenga ili...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Maisha yetu yote tulikua na baba mtu mzima ndiye alifanya kazi za ndani. Alikua ni wa J5-Ijumaa, saa mbili mpaka saa kumi.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Hii African Physics ni kikwazo katika maendeleo yetu.
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Once upon the time I had a friend

    Thank you dear, it’s time to open a new page.
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Once upon the time I had a friend

    He was once a special person to me and now I feel like a reject in his eyes. I would have been nice if he had told me the reason.
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Once upon the time I had a friend

    What do you want to know about me?
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Once upon the time I had a friend

    He doesn’t even pick my calls anymore.
Back
Top Bottom