Sasa hili nalo mkuu unataka upewe ABCD kweli?wewe ni mtu mzima kweli au bado kinda?any way baada ya kupanda kwenye hiyo lifti mkfika Puma pale Njuweni maili moja,au pale ETN picha ya ndege,au hata pale lake jirani na na kituo cha daladala Kibaha mjini au Mkuza pale GSM mwambie mpitie shell kati...
Shiida ni kwamba watu wanapenda sana offerna ikitokea watoa offer wamebadilisha upepo wengi huona wanadhulumiwa hamjaenda kunywa kahawa hapo na hayo mabadiliko ni sahihi myapokee tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.