Recent content by ANGR

  1. ANGR

    Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    kikwete kumkejeli magufuli heli hali anajua kuwa ndio yeye aliyelisababishia taifa hasara kwa mzaha mzaha wake
  2. ANGR

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    watanzania kusema ukweli sisi in wasitaimilivu waoga but hali hii itatikosti
  3. ANGR

    Kikwete alivyoongopea watu wa Pwani

    anaye zungumza habari za kikwete sasa hivi nichizi na punguani
  4. ANGR

    Magufuli kutowalipa mshahara makocha Taifa Stars

    ndio dawa magufuli njooni na halmashauri zetu mf. mwanza kuna tumijitu tunao jihita wakuu wa idara tunakula pesa bure vunja kabisa watu hawa nawengine wanasema wanabakia kwenye ukuu wa idara atakama idara na Vite go vimebadilika ilimladi waendelee kula hela za serkali
  5. ANGR

    Hatimaye Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ahamishwa

    yaani wadau me nawaambia hivi alilmashauri nyingi nchini zimeoza hasahasa za majiji kuanzia wakurugenzi mpaka watu wanao jihita wakuu wa idara wana wasumbua sana wafanya kazi sasa magufuli kama ameamua aka safishe almashauri zote akianzia na Mwanza(jijini) watu wanao jihita wakuu wa idara wote...
  6. ANGR

    TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    huyu mtu afai afai kabisa na ili Magufuli afanye kazi zake zitimie anatakiwa akawapige chini hawa wote uchafu wa kikwete
  7. ANGR

    UKAWA yameguka Handeni, Wanachama 115 wahamia CCM

    hao ni wasalti
  8. ANGR

    January Makamba naamini amepata cha kujifunza

    magufuli tumuombee kwa Mungu anaweza kutuvusha hasipobadilika
  9. ANGR

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    daaaaaaah siasa za nchi za kiafrika ni ngumu sana
  10. ANGR

    Morogoro Kusini, Wilaya masikini kuliko zote Tanzania

    tatizo utaliona liko wapi tatizo liko kwetu sisi waTZ hatujitambui uwelewa mbo tulio wengi tunajua kwamba umaskini na shida zetu ni mipango ya Mungu kwamba haisababishwi na watu
  11. ANGR

    Nitachukua kadi ya CCM Oct 30th 2015

    Tatizo sio vyama watanzania mlielewe hilo vayama kwamfano ukawa vinataka kuwakomboa wananchi na vime jaribu kuwatetea katika sehemu mbalimbali ikiwemo bungeni majukwaa ya siasa kupitia rasimu za katiba pendekezwa tatizo ni akili za wananchi wenyewe wanaao tetewa hawana akili mpaka leo huwezu...
  12. ANGR

    Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

    Hivi mpaka sasa kuna mtanzania hajui zzk ni ccm B amechoka kama ccm ilivyochoka
  13. ANGR

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Wame vunja sheria lakini upande wapili wakifanya watacho pata nimabomu maji ya pilipili ila October 25 itajulikana
  14. ANGR

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kumbuka ata huyu kasaha tuhumiwa na CAG kwa upotevu wa zaidi ya million 200 kuwa na mtazamo hasi na ccm tatizo sio mtu tatizo ni mfumo
  15. ANGR

    Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

    Weweeeeeeee
Back
Top Bottom