Recent content by Angovimsuya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa 3D na 4D

    Humo utakutana na mizimu lazima
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tumbo kuunguruma kuna sababishwa na nini ?

    Jamani acheni kumzungusha mgonjwa hilo chango kaka,aka ngiri
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Huyu mzee co mkaaji,akishakamilisha kazi yake mtamwona akiondoka kama alivyokuja,na wala hakuna haja ya kubishana kwenye hili tusubiri mda utatupa ukweli
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Watu wana shida nyingi sana cku hizi na Imani ya kweli ya kutatua hizo haja imekua adimu,so kwa washap wanatumia hiyo changamoto kama fursa,,,kwani nn bana,,"mzigo mzito kwa mwana mpumbavu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    popote palipo na masharti pana madhara
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Hii ni mbadala wa kuagizwa mbuzi na mganga.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Dah,yako mambo mengi sana yaliyofichika kwa mwanadamu ndomana huwa tunatoaga ushauri mwingi sana baada ya matukio,lkn jumla ya mambo yote hayo ni mapepo tu na wala co yote ni mipango ya Mungu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bus zuri la kwenda moshi

    bila shaka ushapata mwongozo sasa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bus zuri la kwenda moshi

    Mbona umekazia sana swala la chager meku?kama unataka kusafiri kwa raha zako hizo na nyinginezo tafuta gari inaitwa extra luxuries hutajutia 35,000 yako mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Yule n mtu wa usalama lkn ndo hivyo tena nchi hii kila mtu yuko juu kuanzia magogoni mpaka chini kabisa kwenye halmashauri zetu.juzi maafisa elimu wamewahamisha waalim kibabe Simbachawene kaishia kulalamika na kulaumu tu hajafanya lolote huku kaacha waalim wakisota porin bila pa kulala akiwemo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Nchi haina mwenyewe hii kila mtu anamlalamikia mwenzake..yule co police ni msalama flan hiv na japo alichokifanya co salama lkn nchemba hana uwezo kimamlaka kumchukulia hatua kwahiyo naye kaishia kumwachia mungu kama Nape alivyofanya,tuelewe mambo .tusiumize vichwa bure
Back
Top Bottom