Recent content by Angeloos

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke

    Umesahau kuweka sifa zako mkuu. Ni muhimu sana, wanawake nao wana vigezo vyao.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sijapata mke mwema aliye tayari, tafadhali karibu

    mmmh, binti wa miaka 18, tena unamtafuta kupitia hapa jamvini utapata vicheche tu. Lakini pia wasichana wengi kwenye umri huo uliotaja ni tegemezi. Dont expect much.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua namna ya kuongeza size ya uume wangu

    Achana na hayo mawazo, ukiongeza ndio utaanza kupata ambao wala haiwati mboo kubwa. Itakuwa imekula kwako. Naamini utapata unayefanana naye.
  4. A

    JamiiForums Tanzania kutana na mtu asie kujua halafu akakuomba ..

    mtumie bwana, ujui kama kwa kuchati naye amekuondolea stress. Malipo ndio voucher.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada. natafuta jina zuri la kike

    mpe PURITY
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee vipi???!!

    sio tu kwa ndugu zako hata kwa baba yao ni hatari hasa kwa watoto wa kike. Yaani hao ni mbwa kila wakionacho kinaenda mdomoni.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye miaka 30-40 anatakiwa

    sasa sisi weusi na wafupi atatuoa nani?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuwa nae nahisi kama mkosi maana maumiv nayoyapata zaid ya kuish na jini!

    Sometimes its better to be alone. No body can hurt you. Nina mzigo wa chumvi kama wako, tena nimeubeba kichwani, taratibu najaribu kuutua bila kunivunja mgongo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ladies wanted..but i will choose one

    yes, here i am.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke uk /usa

    dah ningezaliwa USA saa hizi si nigekuwa nimeshapata mume! Ulofa huu jamani.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mke mtu mzima

    yes, here i am.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Escot Girl

    Be careful, achelewi kuwabebesha madawa ya kulevya.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wana mmu

    Usipoteze muda, muweke pending. Tafuta mwingine ambaye atautuliza moyo wako. Wengi hatujui thamani ya kupendwa,ukiona unapendwa basi unajiona cake. Anayekupenda huwa hana vituko vyote hivyo, anza kuishi kama vile hayupo, utaona furaha yako iliyopotea inarudi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Mimi mbona ninayo, lakini sipendwi?
Back
Top Bottom