Recent content by Angeliciousy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

    Pole sana dada,jitahid uwezavyo kumsamehe na kujisamehe pia,then muombee yeye,familia Yako na ww mwenyewe . Kwenye maisha mitihan ipo japo inapita
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaamua kuishi naye niambieni ukweli kuhusu tabia ya huyu binti

    kwenye mawasiliano kweli anazingua
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaamua kuishi naye niambieni ukweli kuhusu tabia ya huyu binti

    Kwa tabia hizo anaweza kua Hana uhakika kama kwel unampenda hivo anakaa Kwa tahadhali (hataki kukuzoea sana)ili ukisepa asipate shida ku move on,kingine yaweza kua shughuli zake zinamtyt Cha kukushauri huo huo mda mchache anaokupa msuprise vitu vitakavyoacha kumbukumbu kwake
  4. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mwenye sikio na asikie
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [Color=red ] hiyo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kujua Kusudi Lako Sema NDIYO, Kuishi Kusudi Lako Sema HAPANA.

    Asante kwa utayari wako wa kushare nasi ujumbe huu muhimu,Mungu akubaliki sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Inahamasisha sana Ongera
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuajiriwa na kujiajiri?

    Kujiajili kuzuri lkn kama unajua unachokifanya.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Idea hii ya chakula ni nzuri sema angalia mzunguko wa eneo husika,usafi,kauli,na ubunifu
Back
Top Bottom