Recent content by ANGEL ONE

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tatizo ni internet, utakuta umejiunga kifurushi una MB za kutosha halafu mtandao unasumbua always no netwok, hii imakuwa serious tangu muanzishe facebook bure, tafadhari liangalien hili
  2. A

    JamiiForums Tanzania Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

    kwa namna nilivyokuwa napenda maths, topic zote nilikuwa napiga sana tu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

    RIP MUNGAI! Dah bt physics with chemistry ilinichanganya sana 2004!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaosubiri ajira, mwacheni Waziri Kairuki apumzike

    Sio kwa huo uhakiki usioisha!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifungue ajira,vijana wahitimu wanateseka mitaani waende wapi?

    Ki- ukweli serikali iangalie kwa upana jambo hili la ajira, hali ni tete, sector binafsi zinapunguza wafanyakazi, suala la kujiajiri nalo kwa usawa huu ni ishu, kuna vijana wamejikita kwenye kilimo nako soko hamna, hali ya hewa haieleweki, mitaji imepotelea huko, Ajira kwa vijana ni jipu...
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

    wanume timizen wajibu wenu kwa wake zenu, am sure hawata cheat, pia muwe mnaangalia upande wa pili wa shilingi na ninyi hyo michepuko veepe???????? na sisi tunaumia na tunamoyo km ninyi, pia kuwen fair maisha yaende, ndoa sio vita fanya iwe sehemu ya maisha yako inayokupa furaha,........wanawake...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Je Umekosa Mkopo Na Unahitaji Kusoma? Tembelea Hapa Nikuwezeshe.

    ki ukweli sijaona uhusiano wa mtu kukosa mkopo na hiyo post yako ndugu. kumbuka hao waliokosa mkopo wanatakiwa msaada wa direct ili waendelee na elimu, sio kwa njia hiyo, by the way hiyo kitu nimeiona ikisambaa sana whatsap, upuuzi tu, hamna fedha inayopatikana kilain hivyo.
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nimuache huyu msichana?

    Duuh! hatari sana ingawa sijaona kosa la huyo dada.....! kumbuka hujafa hujaumbika.
  9. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    RIP mzee wetu Mungu kakupenda zaidi
Back
Top Bottom