Recent content by Andrometa

  1. A

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Andaa soko, mzigo umekaribia kuingia sokoni. Nguvu ya Hysun 33 hiyo
  2. A

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Mimi nimeifanyia majaribio ya kuipanda mara ya pili, na imekubali vizuri tu. Mimi msimu ujao sinunui mbegu.
  3. A

    This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    mkuu naona maeneo ya Msata pia Hysun 33 inakubali sana. Nimejaribu kulima japo kwa kuchelewa lakini zimekubali sana. Nipe soko mkuu.
  4. A

    Natafuta gari ya kununua "sedani", max-price 5mil

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, anaeuza tuwasiliane
  5. A

    Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

    Kwenye blue, sidhani Jecha kama Jecha ndo anayetoa maamuzi, naamini maamuzi yote yanatoka ccm na Jecha anatumika kuharalisha tu, nothing else.
  6. A

    Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

    I think was a calculated move kwa ccm kumtumia na waliona dalili mapema na ndiyo maana wasema hakutakuwa na wagombea wapya isipokuwa wazamani ndo wataendelea. Ngoja tuendelea movie ndo kwanza inaanza. Bila shaka watalazimisha Hamad kuwa mgombea ili kuharalisha uchaguzi.
  7. A

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    Ukiona kimya huyo kishapata, ila huenda bado anasikilizia kama jamaa ataeleweka.
  8. A

    Sheria ya kuwalipa viongozi wastaafu 80% ya mshahara wa kiongozi alie madarakani ipitiwe upya

    PAYE hawalipi na akiondoka madarakani bado apewe 80%!!!!!!, hili nalo JIPU
  9. A

    Mwanasheria wa NEMC afukuzwa kwa kunusuru ghorofa la kigogo lisibomolewe

    Suala la Mchungaji Getrude Rwakatare Mkutano ulipokea taarifa kuhusu suala linaloongelewa sana la nyumba ya Mchungaji Rwakatare. Ilielezwa kwamba Mchungaji Rwakatare amejenga nyumba yake pahali ambapo amezuia mtiririko wa mto kwa kujaza kifusi ili kupata eneo zaidi katika eneo la miti ya...
  10. A

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Wanahitaji kupata vibali vya kufanya kazi. Bado application fee yao tunaihitaji sana
  11. A

    Operesheni wahamiaji haramu kazi imeanza, vilio vyatanda, wachina wagoma

    Viwanda vya nondo pia kuna wahindi wengi sana hawana vibari, wakitoka mwisho getini.
  12. A

    Giza ni nini?

    Jua likizimika!!!!????, By the way I meant darkness on the the Earth's surface. But just for your information, matter like stars,planets, galaxies occupy just a small proportion of the known Universe (less than 5%). The rest is dark energy and dark matter (>95% combined).
  13. A

    Giza ni nini?

    Kwa ufupi, giza ni kivuli cha dunia yenyewe.
  14. A

    Bonjour? Tous...

    Felicitation
  15. A

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    Usikute jamaa washakula mzigo siku nyingi na wakasepa, cheza na JF wewe.
Back
Top Bottom