Mimi matikiti situmii tena badala ya kuingia shamba kwa mtaalam wa kilimo nilimuona anayapiga dawa nikamuuliza kwanini, akanambia matikiti kila baada ya siku lazima uyanyunyizie dawa ili ya makubwa kama si hivo huwezi kupata tikiti. Nilijua kuwa huwa hatuli tena matunda natural sasa tunakula...
Hizi nafasi zikienda kwa wanasiasa uchumi wa Tanzania tutachelewa sana, Magufuli namshauri wabasiasa wameshatekeleza wajibu wao sasa ni Kazi tu kama ulivosema hapo hakuna shukurani.
Dah hawa jamaa nina rafiki zangu wawili wamewapeleka mahkamani.
Tatizo la nchi ni serikali tuu inayoacha biashara huru kila mwenyeubavu anakula kwakamba yake
Tatizo la hao uliowataja watakapoingia tuu ikulu wanageuka na kuwa tofauti kabisa na maekezo yao ya awali.
Hizi sera za kiccm kwa kweli zimechosha na hazina mvuto hata awe nani ni yaleyale
Hawa jamaa kwanza kodi zao haziko wazi wakikuona ndio mara ya kwanza umeshusha kigari chako ujue ndio itakuwa mwisho wako
. Nchii hii ni zaidi ya dhulma na Mungu atawaua vifo vibaya sana.
Ni bora tupe Kagame hii bandari tuone mabadiliko Tanzania.
wafanyabiashara wanakimbilia Kenya na...
Polisi muone aibu mmezoea kupandikizamakesi kwa raia sasa mnaingilia mpaka kwenye vyama? Kwa hili hamtoshinda usishangae hawa vijana tayari wameshapewa chao mapema kwenye hii film.
Niseme tuu samsung Org zinazokuja huku kwetu kutoka china na india nazo haziko kwenye kiwango kizuri ni tofauti kabisa na zile zinazotoka Korea zinazopelekwa ulaya,Marekani na canada.
Ukaaaji wa chaji betri zake ni dhaifu, ni bora Tecno, Hili soko la tecno hata wakilifanyia fitna...
Kikwete niliwahi kumsikia alipokuwa china.. Alisema anawashanga anapowaona watu wanangangania urais hii ni kazi ngumu na mimi nimechoka naomba muda wangu ufike nikachunge ngombe.
Sasa leo kama kuna watu wameanza kumpanvia hili zengwe la kumuongezea muda hata mwenyewe amechoka ni ujinga
Serikali ipandishe bei iweka na bei ya kufidia gharama za matengenezio kama unavojua miafrika hata uwafanyie kizuri kwao hhawathamini wanachukulia mazingirra yao ambayo wanaishi kila siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.