Wabongo bhana, mtu kapanga, anapanda daladala kila siku, mlo mara mbili au moja, kijijini kwenu hata bati umeshindwa kuwanunulia wazee wako, chumba chenyewe ulichopanga hata marafiki kuwapeleka unaona aibu, leo hii unasema Tecno is inferior, too low, haina hadhi. Hizi tabia za kimaskini tuziache we kama unaona haikufai n wewe lakini usikashifu wengine wakati unaishi kwa kujionyesha tu.
Note: walengwa wanajijua sio wote.
Inferior goods ni inferior goods tu regardless umewanunulia bati wazaz kijijini au umepanga geto kwa mfuga mbwa, hio hai justify techno kuwa 1st priority kwa Samsung, hahah
Mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake. Tajiri na SAMSUNG, masikini na TECNO
Inferior goods ni inferior goods tu regardless umewanunulia bati wazaz kijijini au umepanga geto kwa mfuga mbwa, hio hai justify techno kuwa 1st priority kwa Samsung, hahah
Wala usijali mkuu kimpe hii siyo hapa tu hapo zamani za miaka ya 80 magari ya kijapani yalipigwa vita sana kwenye matangazo ya biashara huko Marekani mimi niliona matangazo ya wazi kabisa yanasema don't buy Japannese.,lakini miaka ilivyozidi kwenda pumba zilijulikana ni zipi na ngano ni ipi magari ya kijapani soko lake lilikua kiasi cha baadhi ya viwanda vya magari ya kimarekani kufunga matawi yao na kuuzwa kwa makampuni ya nje.Habari zenu wakuu,
Naomba niingie moja kwa moja kwenye huu uonezi wa kibiashara unaofanywa na hawa Maxmalipo wakiwa kama wakala wa kuuza simu za Samsung.
Kuna tangazo lao linaonekana kwenye Runinga likimuonyesha mwanadada mmoja akimwambia mkaka wewe mpakaleo unatumia simu zisizofaa yule kaka amekaa juu ya ya bodaboda ameshika simu wameonyesha mpaka brand yake kabisa ni Tecno.
Nimeshindwa kupata picha lakini wanajamvi kwa hili sio sawa kibiashara. "Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake".
Hata kamaTecno ndo hivyo hawakupaswa kuwafanyia vile wahusika waliangalie hili kwa undani.. Sio sawa
Hahahaa, wamejilinganisha na TECNO sababu hivyo ndiyo viwango vyao! Mwisho wa simu ni iPhone tu, Samsung ni waigizaji, wanatengeza matakataka na kuwasokomeza watumiaji....jinga sana! Hata waigeje kwa iPhone watangoja sana, Samsung simu za wanafunzi na mamburula!
Masikini ndo zetu kashifa

Wabongo huwa wanajazana ujinga. Tecno si tu kuwa ni inferior bali pia ni mbaya kwa afyasiku eti na mimi natumia tecno sijui itakuwaje? Tecno ni inferior goods, watu wanajitutumua tu!!