Mnaotumia matikiti mnalijua hili?

Ndiyo akili zenu zikupoishia katika kuvumbua Vitu...

Ova
hapa ukichanganya ndimu limao na tikiti unapata booster ya mwendokasi, ukiongezea na ukwaju unapata charger ya kobe, cha ajabu unakuta mtoto wa miaka miwili anachochewa uji wa limao then juice ya ukwaju halafu tikiti tayari booster lazima iende hewani.
 
Mimi matikiti situmii tena badala ya kuingia shamba kwa mtaalam wa kilimo nilimuona anayapiga dawa nikamuuliza kwanini, akanambia matikiti kila baada ya siku lazima uyanyunyizie dawa ili ya makubwa kama si hivo huwezi kupata tikiti. Nilijua kuwa huwa hatuli tena matunda natural sasa tunakula kemikali kutusababishia makensa.Tuyaogopeni sana matunda haya ya muda mfupi ni hatari
 
wa mikoani,wana jishindilia maugali ya mahindi ya njano,wanajifanya ndo wajanja,sie tuna kula matikiti,pweza n,k,alafu tuko vzur zaid yenu,vyakula vyetu ubwabwa,chips n,k,kujipa tabu ya nini,kwenda kunya huku unalia,
 
Back
Top Bottom