Recent content by andrewmsumeno

  1. A

    Sakata la Askofu Gwajima, Polisi na serikali jifunzeni

    Kama Gwajima ni mtu mstaarabu si angenwita askofu mwenzake waongee na kuongea hadharani mi nafkiri aombe radhi tu
  2. A

    Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

    Lakini wadau nina mashaka na hii hali utakuta ndo mara ya kwanza ukijaribu kuingiza kavu mdada hastuki yea anaisubiria tu iingie nimejaribu kwa baadhi yao sijui ni aibu ,but mara zote hua natumia ndom kwa hali hiyo watapata sana mimba maana wanaume wengine wana roho ngumu
  3. A

    Tuwe makini na hawa wasaidizi wa kaz majumban

    Kwanza nawatakieni heri ya x mas wadau .Kisa kilichotokea Juzi ni cha kuogopesha ,nina msichana yupo hapa kwangu ,juzi narudi kitoka job nakuta milango ipo wazi nashtuka naanza kutafuta nyumba nzima haonekani najaribu kuuliza majirani hawajamuona ,huku ndani ameacha mtoto wa miaka 3 kalal. Hiyo...
  4. A

    Ndoa za kulazimisha ni mbaya kwa kweli

    Habari wadau kuna rafki yangu mmoja ni kijana mdogo tu sasa baba yake kamlazimisha kuoa hiyo ilikuwa ni mwezi wa 6 mwaka huu dogo kajitahidi kugoma lakini mshua kalazimisha, ilifikia familia yote ikamgeuka, kwa kuwa baba presha imepanda kalazwa kijana kukataa ndoa. Kisanga kimetokea huyo mke...
  5. A

    Swali: Je shemeji akimfukuza dada yako na wewe utaondoka?

    Why ukae kwa shemeji wakati aliefanya ujuane nae hayupo nafkiri haileti picha nzuri
  6. A

    Hii ni kwa wale waliokulia kijijini tu!

    Du mi nakumbuka enzi hizo kama hujalipa ada unaka chini du hilo vumbi sasa da nakumbuka mbali sana
  7. A

    Miguno ya kimapenzi kutoka chumba cha jirani zimenifanya kuvunja amri za Mungu

    Da pole kaka hapo ni ngumu but kuwa busy sana hasa mazoezi ili usiwe na filling that time then hutawasikia maana utakua umechoka na kulala
  8. A

    Miguno ya kimapenzi kutoka chumba cha jirani zimenifanya kuvunja amri za Mungu

    Hiyo tabia ya huyo jirani imeanza baada ya mkeo kusafiri au ni mazoea yake ya kila siku maana kuna utata hapo
  9. A

    Hivi ni kweli wahindi wanachoma maiti moto?

    Yea ni kweli wanachoma hata wachina pia hata hapa makumbusho gravyard wanachomaga pale
  10. A

    Kundi la wake za watu (wanawake) linaloongoza kutoka nje ya ndoa (kufanya ngono)

    Some times inategemea na mtu mwenyewe wengine unawapa lift sijui lunch lakini ukigusia mambo ya love tu anakuchana kua hataki na humuoni tena wengine ndo hivyo tena wepesi
  11. A

    Je ni sahihi alichotaka kufanya huyu rafiki?

    Du kwa kweli pombe ni mkojo wa firauni so angalia inaweza ikawa gia ya kuanzia
  12. A

    Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

    Da hiyo kweli wadau ukimkopesha mdada kikulipa hua ni kazi kwelii mwenyewe kuna dada namdai tangu mwezi wa tatu hadi leo kila.siku bado hajapata nahisi kuacha kuidai tena
  13. A

    Wenye magheto ndio vinara wa kujamiana bure

    Kwani hao mabeki tatu na si wanawake kana wengine tofauti s I kazi tu
  14. A

    Radio kuwa FM channel juu ya frequency ya 90 ni kujimaliza

    Mbona kuna gari nyingine zibapiga tu hata mia.na kitu mi nafkiri inategemea na aina ya redio ndani ya gari
  15. A

    Azam Tv kuweni macho

    Azam hawana haki ya kuonyesha hizo lig kubwa kwa kua tayari dstv wana mkataba na pia wanahofia wanaweza poteza wateja kama walivyokuja g tv kwa hiyo ds tv wapo makini na hilo but azam bado ni cha kawaida sana kwa ds tv
Back
Top Bottom