AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,879
- 5,605
Hata huko DSTV sinema ni marudio tu.na waache kuturushia sinema marudio....

Kiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.
beinsport unaweza kuipata kwenye king'amuzi chochote ilimladi kiwe na sehemu ya kuchomeka smartcard na sharti king'amuzi chako kiwe mpg4, unachofanya ni kununua smartcard yao na unatafuta dish la futi8 unacheki ligi ya mipira ya ulaya, au kama una decoda hizi za kisasa mfano xmaster 3g min hd, au qsat23 nazingine za aina hii unachofanya unatafuta dish la kawaida la futi6 c-band unalielekeza juu unapata belnsports na kuna namba furani hivi ukiziingiza unaipata bure kabisa hakuna kulipia hata shilingi moja huwezi amini, wanaonye mechi zote za epl, n.k.

125,000 wangu ndo bei sahihi.
Ukinunua vitovu vitatu na ungo unapata channel nyingi kuliko Azam TV na ni bure,mimi nia Azmu lakini nafikiri kununua dish na vitovu 3 naichane na Azam kabisa kwani sioni cha maana sana wanachorusha,Mfano mimi ni mpenzi sana wa mpria na movie za action,vote hakuna,kuna chanel ya Uganda ina movie za action ndani ya Azam lakini tatizo wnatafsiri ili movie kwa kiganda na kuifanya isiwe na ladha kabisa kuiangalia.Pia Star Tv ya Tanzania uwa ni nzuri tu lakini Azam hawairushiKiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.
Kiukweli kabisa huwezi kulinganisha Dstv na Azam tv.
Kiumri hawalingani Dstv wana zaidi ya miaka 25 wakati Azam tv ndio mwaka wa kwanza.
Idadi ya channel hawalingani.
Ubora wa channel hawalingani.
Viwango vya ulipaji hawalingani...
List ni ndefu lakini cha msingi kuelewa ni kuwa Azam tv ni kwa ajili ya watu wenye vipato vidogo na vikubwa bila kuwabagua.
Ndio maana nembo yao inasomeka BURUDANI KWA WOTE.
mkuu hadi laliga? nalitafuta fasta
Well said. Then Kama TBC wanaonyesha hamna shida kwani TBC ipo azam tv pia, mbona kama ni movie hata azam tv zipo channel nyingi za movie, mimi nadhani wengi hapa wanapiga kelele lakini sio watumiaji wa hivyo ving'amuzi ndio maana wanafananisha startimes chafu ya antenna na azam tv safi HD ya satellite dish.
tatizo kubwa la mtanganyika ni kupenda vizuri bila au kwa gharama ndogo,12000 ikupe mpira wa ulaya.movie na chanel kedekede nzuri!?
Watu wa tume ya mawasiliano walituaminisha hilo, waje watueleze imekuwaje au utaratibu umebadilika au ni mwendo wa rushwa kama kawaida.!mkuu hata jamaa zetu nao wako hivyohivyo wanakata a-z