Recent content by ANDREW1988

  1. ANDREW1988

    Asante Mungu Kwakunipa Ajira

    Hongera ndugu yangu Mungu akubariki kwani hilo tatizo halikuwa lako pekee,ubarikiwe sana.
  2. ANDREW1988

    Binadamu wa kawaida au ni kiumbe

    Msaada wangu kwa huyo rafiki yako aende kwenye maombi na si kuhama nyumba kwani hilo ni jini na linaweza mfuata popote.
  3. ANDREW1988

    Binti Anayedai kubakwa na Kapuya

    Dah,...hii inachanganya ila inawezekana ni kweli kwanini siku zote alikuwa anapokea pesa za kapuya,kama angetaka haki siangepeleka vyombo vya sheria kama ushahidi.Yani pesa ameshakula halafu anapeleka sms kama ushahidi? HUYU NI MWIZI TU.
  4. ANDREW1988

    Nimeulizwa naenda bila taarifa nikikuta mwanaume mwenzangu ntafanyaje?

    Achana nae kaka,mwisho wa siku atakuumiza zaidi ya unavyoumia kwa sasa.
  5. ANDREW1988

    TAMWA, TGNP, LRHC wamucharukia professor Juma Kapuya

    Mimi sioni jipya la maana walilokuja nalo.
  6. ANDREW1988

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Mi naona haya yote ni kutokana na udhaifu wa jeshi letu la polisi,hawa wangelisimamia ipasavyo na kumuwekea huyo binti ulinzi.
  7. ANDREW1988

    NIPENI MAJIBU YA HESABU YANGU HIi

    4+2(8-3)÷2-1 4+2×5÷2-1 4+2×2.5-1 4+5-1 9-1 =8
  8. ANDREW1988

    NIPENI MAJIBU YA HESABU YANGU HIi

    Jibu ni 8
Back
Top Bottom