Recent content by Andrew0079

  1. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajatekeleza hata ahadi moja soma hizi ahadi zake alizozitoa na ilani

    Nadhan pasi anayoitumia kunyoooosha hili tambala la Tanzania haiko smooth kwnye base
  2. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    Watu mtajitaidi kupindisha ukwel lkn hamtoweza Issue ni vyeti fake na syo kukosea majina we kiaz mbatata!! Yaan amna ulichokiandika apo ni pumba tupu
  3. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Kanuni za uchaguzi TLS zinaruhusu mgombea kuchaguliwa/kupigiwa kura hata kama hayupo

    Nadhan saiv anajiharishia uko alipo
  4. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Anachukia upinzani, analinda wenye vyeti feki ,ana kauli za uchochezi

    Kwaiyo mfano mm ndgu yang alkutwa na hatia ya vyet fake na alkuwa amebakiza miaka 2 astaaf kapigwa chini na ndo alkuwa tegemez kwang. Huyu mkuu wa Mkoa wa Dar ndo mtanzania grade A na ndg yang ni mtanzania grade F ama!!? Simple tu kama ishakuwa ivo yule askar (trafic) alokamatwa na makosa ya...
  5. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya asome nini??

    Ujasiriamali tu
  6. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Tangazo kutoka kambi ya Jeshi Lugalo, Mbuzi ameokotwa akila miti

    Mmmmmmmh!!!!! Uyo mbuz atakuwa ana makusudi yake jmn
  7. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

    TV Broadcaster!!! Duh bsi ikawa kila siku ni make up to wazee dah!!!!!
  8. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Mbona hujafika Masharik ya Kati pale kwa nchi za kiislamu kuona hali iko vep???
  9. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Gambia's Yahya Jammeh 'agrees to step down' and will leave the country

    Namxubir yule WA Zenj. Jecha Salim Jecha ahojiwe na Tido Muhando J2 saa 3 asbh
  10. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwakyembe: Katiba inampa mamlaka Rais Kuteua na Kutengua Atakavyo

    Bado mnaizungumzia kitu kinaitwa Katiba katika nchi ya Tanzania???? Nadhan ni vzur mshike Bible na Quran muachane na mawazo ya Katiba maana Mukulu alisha sema Katiba syo kitu muhim Kuna vitu vya kudeal navyo alisema syo Katiba
  11. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Rais na Mamlaka ya Kulivunja Bunge

    Ndugu Wana JF leo katika pita pita yangu sehemu fulani hivi nimeshangaa na kustaajabu ya Musa baada ya kukuta kamjadala kuhusu uhalali wa Rais kulivunja Bunge : Muanzisha mada alikuwa na haya ya kusema kuhusu Rais anapoweza kulivunja Bunge 1.Kama Bunge likikataa kupitisha Budget ya Serikali...
  12. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hifadhi ya chakula ina uwezo wa kuhifadhi tani 246,000 hizo tani 1.5m zimewekwa wapi?

    Angekuwa Sendeka tungeskia Mengi kuuxu hii issue ya Njaa!!! Maskini mbaba wa watu tumemis ropoka yake njema [emoji134][emoji134][emoji134]
  13. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Tamko la Rais ni Sheria??? Nan kasema huo ujinga!?? Iko upande upi wa Constitution Of Tz!!!!?? Hujielew we muandika Post
  14. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Donald Trump afuata nyayo za Magufuli

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]awesome
  15. Andrew0079

    JamiiForums Tanzania Donald Trump afuata nyayo za Magufuli

    Idiot, Alokimbilia CDM ni Rais kwan!!!?
Back
Top Bottom