Kosa lakounesahau kujimention tu hapo
Bado Zenji
Hahahaha kama vile kweliHuyu jamaa mashabiki wake wengi ni wana ccm
Mkuu sasa busara ya huyu Jammeh iko wapi? Kasumbua watu muda, halafu aone kichapo chaja anaamua kuhepa mashambulizi. Wamfanye kitu mbaya hatasahau maishani. Barrow nyonga huyoKosa lako
Kwanini hujamkumbusha mmeo
Wenzetu wameweza sie hapo zanzibar nani atusaidie daaah