Andrew0079
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 261
- 142
Ndugu Wana JF leo katika pita pita yangu sehemu fulani hivi nimeshangaa na kustaajabu ya Musa baada ya kukuta kamjadala kuhusu uhalali wa Rais kulivunja Bunge :
Muanzisha mada alikuwa na haya ya kusema kuhusu Rais anapoweza kulivunja Bunge
1.Kama Bunge likikataa kupitisha Budget ya Serikali
2. Baada ya kuisha kwa kipindi cha Miaka 5 Rais anaweza kulivunja Bunge
3. Kama wabunge wa Upande wa Chama tawala kwa maana ya Serikali hawatoshi
4. Pale Bunge linapokataa kusupport Sera za Serikali.
Nk.
Mimi nikawa nimeelewa Moja tu ya 2 basi. Naombeni msaada wa kikatiba wadau
Mimi nilikuwa na swali moja tu kwa jamaa
Kuwa, je Bunge linaweza kumuondoa madarakan Rais akasema Haijawah kutokea Africa hiyo.
Nadhani amenipa nauli ya kujua yeye ni mtu wa aina ipi na ana mawazo gani kichwan mwake juu ya mstakabali wa Demokrasia ya Tanzania.
Niko zangu hapa Home nimekaa namuwaza jamaa tu sijui yeye kama anawaza jinsi alivonikwaza