Asante kwa ushauri Mkuumachenical engineer kwa sababu ana msingi mzuri wa mechanics,au anaweza kusoma Biomedical engineer kwa maana nimeona amefaulu biology na fizikia
hahaaa amecheza sanaDogo alikuwa shule nzuuuriiiii kabisa ya ufundi nadhani kipindi wenzake walipokuwa wanaenda preparation ye alikuwa anavizia ma carpet ya ubwabwa kila somo muhimu we DDDDD....etc hupati hata ualimu wa shule ya msingi matter of fact nenda veta