Recent content by andrew sylvano

  1. andrew sylvano

    Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

    Kuna watu bado mna zile old mentality kwamba kila anaetokea uingereza anakuzwa na media just look at Scholes Rooney Giggs Beckham Na bado watu wanapata ujasiri wa kuwabeza eti kisa anatokea Manchester united then ni muingereza . Ni upuuzi tu.
  2. andrew sylvano

    Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

    Nashukuru nimewapata, nilifanya correction trh 4 October nika'comfirm lakini wao wanasema bado hawaja"verify mpaka jumamosi ndio nitakuwa verified.
  3. andrew sylvano

    Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

    Hivi sisi tulioandikiwa "you're not eligible for appeal" wanamaanisha nini msaada tafadhali.
  4. andrew sylvano

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Hata pande za huku naona ni wameweka status huyo Watoe hayo majina tujue kama mjini kunaendeka au laa!
  5. andrew sylvano

    Orodha ya majina wanaotakiwa kusahihisha maombi ya mkopo 2019/2020

    Mbona hawatoi huo mwongozo wameleta orodha tu....!
  6. andrew sylvano

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jong Utrecht-VVV Venlo Final Score 1.41 2 Alaves-Sevilla Final Score 2.00 2 Parma-Forli Final Score 1.31 1 Hednesford Town-Ilkeston Town Final Score 1.31 1 Hitchin Town-Cirencester Town Final Score 1.27 1 West Ham-Chelsea Final Score 1.57 2 I accept odds changes! Total...
  7. andrew sylvano

    Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

    Mdudu ni yuleyule na utamu ni uleule............. Binafsi siachani na huyu mdudu
  8. andrew sylvano

    Naomba kujua taratibu za kusitisha masomo kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu

    Kwa anaejua process za kufuata ili kusititisha masomo ya chuo kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza naomba msaada kidogo. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom