Recent content by andrew kisanga

  1. andrew kisanga

    TRA inapenda kuwakumbusha wafanyabiashara kufanya makadirio mapema

    Mm Wiki iliyopita nilifika TRA ofis ya Kimara kwa ajili ya Makadirio ila hilo foleni ni balaa ila nilikomaa balaa sasa imefika zamu yangu saa 8 mchana hivi naambiwa eti TIN yako haijahusishwa kuwa ya Biashara sasa nikajiuliza hii kazi yangu au yenu....kiukweli niliondoka nistaajubu ya Musaa...
  2. andrew kisanga

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Nchi ngumu sana hii....Fitina tu
  3. andrew kisanga

    Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Unatoa msaada gani tujue kwanza maana Huko ajira portal chenga na PCCB bado JKT na Cheti cha Saba changamoto.
  4. andrew kisanga

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Shida ni kwamba hajazifanyia testing hizi platfom hizo ndio changamoto na mtu kujua application receved or not?? Hata kwa ajira portal this time notification on mail haiji sijui shida nn??
  5. andrew kisanga

    Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Ndio kutubwaga kwenyewe huko...
  6. andrew kisanga

    Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Mbona hata mm inakataaa....0
  7. andrew kisanga

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kuna wakati najiuliza kwa age 30 uwe tayari umpita form vi na pia umeshapita JKT na pia uwe una degreee tayari... Hii nchi inakoelekea sijui...sio kwanza wenye kazi zao wapo tayari... Bado najiuliza hii Tangazo liko correct...
  8. andrew kisanga

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Unapangwa ikungi Singida sasa huko Unavestigate nn kamaa sio kutafutana ubaya na watendaji kila kukicha tu...kazi zingine ni kutoleana macho na umbea.
  9. andrew kisanga

    Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Hizi za PCCB zimebana kwenye umri sijui kwann wanafanya hivyo waache tu uwazi watu waapply MUNGU si ATHUMANI bhana kuwa watu na bahati zao na wamekaa sana kitaaa bila ajira.... Wangeondoa tu hichi kigezo....
  10. andrew kisanga

    Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Mara hii sijui tena kama pepa litalika maana hata sijui kwa hili nyomi.... Ngoja tuone tu...
  11. andrew kisanga

    Natafuta Dereva wa Uber, hesabu kwa wiki ni 175k hadi 180k

    Unampa gari mpya na hela Haleti ni shida kwa kweli....
  12. andrew kisanga

    Natafuta Dereva wa Uber, hesabu kwa wiki ni 175k hadi 180k

    Bora na wewe umesema madereva wanazengua sana
  13. andrew kisanga

    Job Vacancy, Assistant Accountant

    Received with Thanks Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. andrew kisanga

    Job Vacancies at Tanzania Postal Bank (TPB Bank PLC), Sales Executives

    Hawa chenga tu hawana jipya Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom