Recent content by Andrea mbise

  1. Andrea mbise

    SIMBA KUCHEZEA ZANZIBAR

    Vipi jamani Simba kwenda KUCHEZEA ZANZIBAR inapendeza kweli?sibora tuu wangechezea hata uwanja wa Azam.au mnaonaje Wanasimbaaaaa.
  2. Andrea mbise

    Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

    Kanma ni oppo.ndo shida yake hyo ishi nayo tuuu ivo ivo
  3. Andrea mbise

    Hii ndio ilikuwa “Ze Comedy” ambayo ilisamamisha nchi ilipofika saa moja jioni

    Jamani mmesahau na FUTUHI.😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 ndyo ni FUTUHI.
  4. Andrea mbise

    Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

    Sheria isipowekwa nakwambia ipo siku utakuta video za pornography ndo zinapostiwa tuuu ....
  5. Andrea mbise

    Utani ukizidi huleta mazoea mabaya. Usiruhusu kudharauliwa eti ni utani

    Utani muda mwingi huwa siupendi sababu mtu anaweza kukutania mbele ya mtu mnaye heshimiana...
  6. Andrea mbise

    Nawapa tahadhari, msitapeliwe

    Jamani wabongo wakoje.mbona mnapenda vya bure.sasa nawaambia hizo Bure zitawauwa...kila siku mnaambiwa Epuka matapeli hamsikii.
  7. Andrea mbise

    Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Hatakuwa wale wa kwenye Biblia au😂😂😂😂😂😂hatariii sanaaa😂
  8. Andrea mbise

    Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wabongo wengi ni washamba kwenye mitandao kwahyo wanaamua kufuatilia mambo ya nje zaidi ili waonekane na wahusika.😁😁😁😁
Back
Top Bottom