Recent content by Andika Jina

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mguu unauma sana unakosa nguvu x-ray haijaona tatizo

    Wadau msaada tafadhali.Ba mdogo wangu mguu wa kulia hauna nguvu na unauma ila x-ray haijagundua lolote.Tufanyaje?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Du mniulizie kwa JK kama ameipata barua hii
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo daktari wako wa meno angependa ufahamu

    Asante Dr. Mzizi Mkavu.Mwongozo wa mtoa mada tafadhali.Hizo dental floss zinapatikanaje?Pia naskia kuna miswaki ya umeme
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Baba wa Taifa TBC zimeisha?

    Penye nia pana njia.Watu hawana masihara na haki zao na hatuogopi.Pia hamieni stesheni za wajanja kama RFA,Iboni FM nk
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kuzuia kutapika mara kwa mara

    Kula sana,kula vyakula vibaya(asivyotaka mtoto),aleji husababisha kutapika.Kwa maelezo yako,pata chai iliyotiwa tangawiz
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana, Je, ni tatizo?

    Du nchi hii kwa udini eti 'assalam aleykum'.Enewei woti ai no iz jast ogazm endi dhati helups noti 'chubuanaring?'
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    Hamna waongo tu hao TEA-FDA.Wanataka wanunue ubuyu,wakamue wakauze USA si mnaijua nchi yetu hii!Hadi math zina M/choice
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama Tabora 'yairuka' Kesi ya Kilewo na wenzake!

    Mimi....naikataa CCM na mambo yake yote na kazi zake zote.Najitolea kwako....nielimishe wengine kuikataa CCM.AMINA
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Pia bwana hoyugi,chukua vitunguu maji vya kutosha kata loweka kwa masaa 2 kisha unywe lita 1 ndani ya saa 24 kwisha tatz
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete uwe makini na hawa wanaopita katika nyumba za ibada kisiasa

    Mpendwa Rais, Kuna wanasiasa wanapita nyumba za ibada kujinadi 2015.Wanatoa ahadi ya mambo ya dini kuingia ktk katiba
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wazinzi mwanza wapatanishwa kwa kufanya sherehe kubwa Mwanza

    Ole wao ningiwakamata
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara kutembeza baiskeli?

    Wakuu wangu,mimi ninatembeza baiskeli na kazi zangu kedekede zinahusisha baiskeli.Je kuna madhara yeyote?Wenu, A Jina
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tehteh inachekesha kuliko vichekesho vyote humu jamiiforum duh!

    Tabia yako mbaya siku nyingine nikiona unapost napita tu.See him first!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Miracle gospel fellowship church wajitoa jukwaa la wakristo

    Hawana akili.Pia majukwaa ya kikristo hatutaki wac..wi
Back
Top Bottom